Mjamzito na Funga

Che Kalizozele

JF-Expert Member
Jul 20, 2008
777
49
Kuna mdada mmoja yuko katika third trimester na anafunga,leo yuko chungu cha tatu. Niliposikia nilishtuka sana, ikabidi nianze kuwauliza masheikh kama uislam unaruhusu mama mjamzito kufunga.

Wote niliowauliza wakasema anaruhusiwa ili mradi atajihisi yuko fiti kufanya hivyo na anaweza kumudu.Ila mmoja akasema pia daktari ana nafasi ya kutoa ushauri na kumzuia kufunga kama atahisi afya ya mama au mtoto itaathirika hata kama yeye mfungaji anajiona yuko fiti.

Sasa naomba mnielimishe wataalam wa afya, hakuna athari yoyote kwa mtoto au mama kama mama mjamzito akifunga.
 
Back
Top Bottom