Mjadala wa vazi la taifa na mjadala wa katiba kipi muhimu vyombo vya habali kujadili

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
Jamani wadau toka niingie mwaka 2012.......sijasikia tena vyombo vya habari vikizungumzia katiba mpya
kila saa nasikia vyombo vya habali vikirusha.......ya kwamba tujitokeze kutoa maoni ya vazi la taifa

inakuaje mbona katiba mpya haizungumziwi namna hii.........hebu nisaidieni labda mimi najiona elimu yangu bado
ipo chini......hivi nini cha muhimu
 
Back
Top Bottom