Mjadala wa Mafuta na Suala la Muungano

Naona umefika mbali, nahisi kama hii ndoa Zanzibar akiwa ni mwanamke na ndoa yenyewe ina matatizo yasiyokwisha...hii ni dalili ya mume kuwa senge au ana matatizo ya kusimama :confused:

Mzee umekusudia nini kufananisha muungano na ndoa?

huo haswa ndio mfano muafaka. ukioa halafu kla siku mnaorodhesha na mkeo hiki changu, hiki chako............... ndoa haifiki mbali!

ndoa imara wanandoa huchukulia kila kitu ni cha wote. haya wanayofanya wazanzibari ni sawa na wabeijing wafanyanvyo ndani ya ndoa! wanataka watunzwe na waume zao wakidai ni wajibu wa mume kumtunza na watoto, lakini mishahara yao ni yao wenyewe hata kama ni mikubwa kushinda ya waume zao!

ndoa ikivunjika wanataka tugawane mali tulizochuma pamoja hata kama hakuchangia moja kwa moja kwa kipato chake, atataka mgawane pari pasu.

zenji haipo bila muungano, mafuta hayapo bila muungano. smz haipo bila muungano, maalim seif haypo bila muungano, makubaliano ya seif na karume hayapo bila muungano........................ kwa ufupi bila muungano, zenji ni mbaya kuliko somalia ya sasa, amini usiamini..............................
 
Tatizo la Zanzibar kubwa ni elimu si oil wala nini. Kwa sasa Zanzibar inapata 4% ya mapato ya serikali ambayo yanajumulisha kila kitu gold, gas, na malighafi nyingine sasa leo ndugu zetu baada ya miaka 40 kusikia watu wana research mafuta fikra zinabadilika. Hakuna mafuta Zanzibar kuna reseach tu na si Zanzibar pekee ni Tanzania nzima. Tatizo leo kubwa ndugu zetu ni kutohimiza elimu kwa watoto na elimu ndiyo kiini cha maendeleo sio research za mafuta.!!!. Mchango wa Zanzibar kwenye kipato si hata 3%!!!
 
ndoa ngumu jamani.................................
 
Let wazenji wanufaike na mafuta yao. I for one I fully support them. Maana madini sisi tumegawia wacanada na wengine kwa jina la uwekezaji. Labda watajifunza kwetu waingie mikataba mizuri ili mafuta yawanufaishe wananchi wao. Tatizo ni pale mtakapoanza kukatana mapanga..maana sisi tumeibiwa madini yetu tumekaa kimya kama kondoo. Nyinyi mtaweza? yetu macho.

I for one..... I honestly feel this muungano is just useless. Sisi wa bara hatufaidiki na lolote so is wazanzibar. Sasa tumeshindwa kusaini mikataba ya maana, leo hii tuko tunasumbua wazenji. Ngoja na wao wajaribu labda wao wana wanasheria na wanasiasa wenye akili kuliko sisi. You never know!

Tanzania bara tuache tamaa. Raslimali tulizo nazo zinatutosha sana kutuletea maendeleo bila hata ya kudai mafuta ya wenzetu visiwani.

Tatizo ni tamaa!
 
huo haswa ndio mfano muafaka. ukioa halafu kla siku mnaorodhesha na mkeo hiki changu, hiki chako............... ndoa haifiki mbali!

ndoa imara wanandoa huchukulia kila kitu ni cha wote. haya wanayofanya wazanzibari ni sawa na wabeijing wafanyanvyo ndani ya ndoa! wanataka watunzwe na waume zao wakidai ni wajibu wa mume kumtunza na watoto, lakini mishahara yao ni yao wenyewe hata kama ni mikubwa kushinda ya waume zao!

ndoa ikivunjika wanataka tugawane mali tulizochuma pamoja hata kama hakuchangia moja kwa moja kwa kipato chake, atataka mgawane pari pasu.

zenji haipo bila muungano, mafuta hayapo bila muungano. smz haipo bila muungano, maalim seif haypo bila muungano, makubaliano ya seif na karume hayapo bila muungano........................ kwa ufupi bila muungano, zenji ni mbaya kuliko somalia ya sasa, amini usiamini..............................[/QUOTE

Sijuwi umezaliwa mwaka gani lakini nitarudi nyuma kidogo binafsi nikiwa kama kijana mdogo mwenye akili yangu timamu wakati ule mzee Aboud ni Rais wa zanzibar, nilishuihudia kwa macho yangu Meli iyotoka Urusi na kuteremsha Silaha za kivita kwa ajili ya zanzibar zikiwemo ndege za kivita misaili na mengineno ambavyo ndivyo vilivyotumika kuiokowa Tanganyika baada ya kutangaza kupigana na Uganda wazazi wetu kaka zetu na ndugu wa wazazi wetu pamoja na nguvu za wazanzibari zilitumika katika kuiokowa Tanganyika,zanzibar haijawahi kuwa na matatizo na Uganda likumbukwe hilo, au mumelisahau hilo ?zile silaha zilitokana na jasho la wachuma karafu kwa ajili ya ulizi wa viusiwa vya zanzibar Mzee aboud yuhai warusi wapo na waulizwe kuhusiana na hilo ,tulipoteza ndugu , waziza ,na kuwacha wajane na watoto yatima kwa kuikombowa Tanganyika leo hiii ndio mnaleta batra na kuwa wasemaji sana pale wazanzibar wanapofanya mamuzi yao ,mnatowa maneno machafu zidi ya wazanzibari kuna mengi itakapofika wakati wake yatazihirishwa na wazanzibari.
 
huo haswa ndio mfano muafaka. ukioa halafu kla siku mnaorodhesha na mkeo hiki changu, hiki chako............... ndoa haifiki mbali!

ndoa imara wanandoa huchukulia kila kitu ni cha wote. haya wanayofanya wazanzibari ni sawa na wabeijing wafanyanvyo ndani ya ndoa! wanataka watunzwe na waume zao wakidai ni wajibu wa mume kumtunza na watoto, lakini mishahara yao ni yao wenyewe hata kama ni mikubwa kushinda ya waume zao!

ndoa ikivunjika wanataka tugawane mali tulizochuma pamoja hata kama hakuchangia moja kwa moja kwa kipato chake, atataka mgawane pari pasu.

zenji haipo bila muungano, mafuta hayapo bila muungano. smz haipo bila muungano, maalim seif haypo bila muungano, makubaliano ya seif na karume hayapo bila muungano........................ kwa ufupi bila muungano, zenji ni mbaya kuliko somalia ya sasa, amini usiamini..............................
Pumba tupu, taifa la Zanzibar lipo miaka mingi kabla ya hata Tanganyika haijazaliwa...wakati huo Tanganyika mnavaa majani tuu, Zanzibar ndio tulokufundisheni ustaarabu :cool:
 
Pumba tupu, taifa la Zanzibar lipo miaka mingi kabla ya hata Tanganyika haijazaliwa...wakati huo Tanganyika mnavaa majani tuu, Zanzibar ndio tulokufundisheni ustaarabu :cool:
naona mwenzetu huko tayari na panga kwa ajili ya mafuta, ambayo ndio kwanza watu bado wako kwenye exploration processes.

kwani umeambiwa mwenzetu hayo mafuta yana uwezo wa kuingiza revenue ya kiasi gani. Maana huko very ambitous na kuvunjika kwa huu muungano hata testing za mafuta hazija anza. wala pipe azijaenda do you even know how long it takes before they can begin pumping out oil from see.
 
Pengine suala la mafuta yapo au ni amount gani yatapatikana tuwaulize hao walioliingiza suala hili kwenye muungano.

Kumbuka hili suala limeingizwa kwenye masuala ya muungano kinyemele tuu...sasa wao walijua ni kiasi gani kitapatikana.

Tatizo sio mafuta au uwezekano wa kupatikana, critical error ni kuwa issue hii si ya muungano.Hapo manaake tunarudi tena kwenye katiba na mfumo wa muungano.

Sasa babu zako walijiona wajanja sana, wakadhani hatugundua mtu kama mafuta si suala la muungano.Kwa bahati mbaya, leo miaka kadhaa tunajadili tena suala hilo hilo.
 
babu zangu sijui kama wana elewa ni nini hasa au hata implications za hayo mafuta.

Hila nachojua mizimu ya babu zangu hiko Tanzania bara na pwani. Historia inaniambia wa-pwani walichukuliwa utumwa na kuwekwa huko wengine waka pelekwa uarabuni na kufanywa tasa na hao unao watetea, walio uliwa kinyama.

Labda historia yako mwenzetu ina anzia baada ya mkoloni wa kiarabu ku-settle kwa muda na kuwa mtawala wa kujipachika ktk ardhi yetu na mali zote zilizopo including tamaa inayo kufanya ukatae muungano mafuta.

Kwa hiyo narudi tena labda we mwenzetu ujioni mmbatu hasili ndio maana umeshikilia haya mambo ya sijui segregations na selfishness. Kitu kingine ni wewe uliekuja hapa na kusema mafuta ni ya wa-zanzibari kumbe hujui hata the amount of reseve iliyopo currently.

ushauri wa bure bora ujinyamazie kama wengine tu na u get on with ya life. nilishakwambia hawali baadhi mna katabia cha kujiona mpo different, embu nenda huko oman uone kama wata kuthamini hata kama una asili ya kwao.

learn to respect yourself, jielewe, jikubali na si kuweweseka na mawazo ya kipuuzi kwa selfish motives.
 
Wewe unaejua kiasi cha mafuta tuletee hizo data, usituletee porojo tupu.

Mimi nilichokijua nimeleta kwenye thread hii, na inaonesha wazi kuwa mengi yapo visiwani Zanzibar.

Na suala la mafuta halikuwa suala la muungano...sasa hayo ya mimi ni mbantu au muarabu, hizo ni chuki zako binafsi.Kuanzia sasa basi nitajinasibu kuwa ni mmakonde ili nipate kukufurahisha roho yako...au si ndio lengo la mkoloni lazima watu wajifisie asili za mkoloni :rolleyes:

Acha pumba ndugu yangu, kujisifia asili ni suala natural wala sioni tatizo lolote mtu kujisifia au kuainisha kama wazee wake wanatoka india, oman, tanganyika...haya ni masuala ya kawaida na sijuwi ndugu yangu yanakusumbua nini kwamba mzanzibari kusema ana asili ya kabila fulani kutoka Oman na kwengineko....Mimi binafsi yangu sikuanisha masuala haya ya kikabila.

Muungano na ukabila hakuna relation yoyote, unachotaka wewe ni kuwa wazanzibari wanayamaze ili muzirambe hizo rasili mali zao...ambao utafiti unaonesha wazi.Sasa wewe kama unazo data za kupingana na hizi...weka hapa tujadili hoja.Sio pumba la ukabila!
 
By the way hiyo research data imetolewa January 2010...hivyo data yoyote older than that wont do any good...:cool:

Note:
**Mafuta hata kama ni tone au chupa moja, ya Zanzibar hivyo yatumike kwa ajili ya Zanzibar.Same applies kwa madini mengine yanayopatikana huko Tanganyika.

Thats what make sense here, sio unanijia mimi ni selfish...sasa mbona madini hayajawekwa kwenye muungano tukapata kugawana.Who is selfish then?
 
mafuta kama yapo makampuni makubwa si yangeshakuja? ivi unadhani wamarekani wangetaka tabu za kuchimba mafuta katika hostile earnvironment kule urabuni kama yangekuwepo apa? mbona hamna kampuni hata moja iliyokua interested kuchimba? tunabaki tunalumbana kwa kitu ambacho hakipo, hata kama yako je ni economical viable kuchimba? maana yanaweza kuwepo lakini cost za investment na return isifikie, msidanganyike ayo mafuta yangekua economically viable makampuni makubwa kama shell, chevrontexaco yangeshakuja!
oil inaweza kuwepo ila wasiwasi wangu ni kwamba sio economically viable kuchimba na wazanzibar tumieni akili zenu kubuni njia za kuendeleza uchumi badala ya kujiwazisha mafuta hewa!
 
Wewe unaejua kiasi cha mafuta tuletee hizo data, usituletee porojo tupu.

Mimi nilichokijua nimeleta kwenye thread hii, na inaonesha wazi kuwa mengi yapo visiwani Zanzibar.

Na suala la mafuta halikuwa suala la muungano...sasa hayo ya mimi ni mbantu au muarabu, hizo ni chuki zako binafsi.Kuanzia sasa basi nitajinasibu kuwa ni mmakonde ili nipate kukufurahisha roho yako...au si ndio lengo la mkoloni lazima watu wajifisie asili za mkoloni :rolleyes:

Acha pumba ndugu yangu, kujisifia asili ni suala natural wala sioni tatizo lolote mtu kujisifia au kuainisha kama wazee wake wanatoka india, oman, tanganyika...haya ni masuala ya kawaida na sijuwi ndugu yangu yanakusumbua nini kwamba mzanzibari kusema ana asili ya kabila fulani kutoka Oman na kwengineko....Mimi binafsi yangu sikuanisha masuala haya ya kikabila.

Muungano na ukabila hakuna relation yoyote, unachotaka wewe ni kuwa wazanzibari wanayamaze ili muzirambe hizo rasili mali zao...ambao utafiti unaonesha wazi.Sasa wewe kama unazo data za kupingana na hizi...weka hapa tujadili hoja.Sio pumba la ukabila!
Watu wengine nyie, haya wewe ndio umekuja hapa kutuambia kuna mafuta na yawe yenu tu wenyewe. Kumbe hata hujui ni kiasi gani, sasa unaishia kuwauliza wengine wakujibie hili wakukidhi tamaa zako, pole sana.

Kitu ambacho umetuwekea ni potential sites, lakini hata hiyo picture yako aisemi how much is in reserve kwani bado hawajui, au labda we mwenzetu you know otherwise maana huko mstari wa mbele na haya mambo. Ndio maana nikakuuliza do even know the potential revenue ya hayo mafuta.

Trust me kwenye mafuta ya uhakika utaona big boys leading the expedition, ukiona wanaondoka anza doubt the reserve capacity.

Hayo mambo ya ukabila its your problem i do not care ni mtanzania wa race gani, hila kwangu patriotism is a must. sasa mtu ambae anajiona ana tofauti na mtanzania kwangu he is a problem kama wewe na wazanzibari wengine au hata baadhi ya wabara kutaka kujifanya wana mambo fulani against the majority concept of understanding.

siwapingi wao as individuals bali the ignorance wanayotuletea na kuweza kuzua mambo mengine mfano wewe Mr Froasty kutaka kujitenga najua motives zako ni sababu nilizokuletea.

Therefore hapo im not against your race au kabila lako bali your attitude towards life na namna zako za kuomba kujitenga, ni hilo tu na si rangi kwani kuna wabantu wanafikra hizi wengi tu kutoka visiwani sasa this can no longer be tolerated. If anything hapa im giving you tough love.:confused:

Nikikupa mifano ya Oman point ni kwamba as far as they're concerned wewe si raia wao. kwa hivyo lazima uelewe where you belong hii aina maaana ya race ralationship but where you belong na loyalty inahitajika nyumbani kuliko ugenini Yakhe:cool:.
 
wazanzibar tumieni akili zenu kubuni njia za kuendeleza uchumi badala ya kujiwazisha mafuta hewa!

Sisi hatuhitaji maoni wala mawazo yako katika kuendeleza uchumi wetu.

Tutadili na matatizo yetu na karibuni tutafikia point ya kukwamuka nayo.Wewe kama ni genius wa kubuni njia za uchumi zitumie tuu kwa kuimarisha Tanganyika, wala sisi hatutokuja kuomba msaada.

Lakini inapokuja kwenye chetu (mafuta) hata kama hayako economically viable, basi pia tuachiwe wenyewe tujiamulie na tukifeli turidhike kama makosa ni yetu.

Lakini ikiwa mikataba ya rasili mali zenu wenyewe ni mbinde tupu, unafikiria itakuwaje tuwaachie nyie wadanganyika mutuendeshee rasili mali zetu.

Karume nakumbuka siku ya sherehe za Mapinduzi alimwambia JK, mafuta yaondoshwe kwenye masuala ya muungano.

Nasi wananchi wa Zanzibar tunaunga mkono jitihada za kiongozi wetu, na probably kwa mchakato unavyokwenda GNU iko njiani....CUF wakiingia madarakani nawaamini kwenye masuala ya muungano, hawakati mchezo...kila kitu kwenye meza ni lazima ijulikane mbichi au mbivu...kero zote za muungano zitakuwa fixed :cool:
 
Watu wengine nyie, haya wewe ndio umekuja hapa kutuambia kuna mafuta na yawe yenu tu wenyewe. Kumbe hata hujui ni kiasi gani, sasa unaishia kuwauliza wengine wakujibie hili wakukidhi tamaa zako, pole sana.

Nimekurushia mpira wewe kukutizama kama kweli unazo data hizo, maana ungekuja nazo ingelikuwa ndio vioja vya dunia.
Mara ya mwisho Director wa Opec ktk BLW, ameweka wazi kuwa hakuna vyombo vya kuweza kujua amount ya oil iliyopo chini ya ardhi.

Ninachokijua mimi na ni fact kabisa, kuwa hizi company za mafuta ni moja ya kazi zao kuchukua risks kwa kufuata probability za utafiti kama huo nilioleta mimi hapa.Sasa si kazi yangu kudili na kutafuta ni kiasi gani cha mafuta kilichopo chini ya ardhi.

Hayo mambo ya ukabila its your problem i do not care ni mtanzania wa race gani
Naona unajizonga tuu, wewe ndie ulie anzisha sakata la ukabila...au?

siwapingi wao as individuals bali the ignorance wanayotuletea na kuweza kuzua mambo mengine mfano wewe Mr Froasty kutaka kujitenga najua motives zako ni sababu nilizokuletea.
Naona ndugu yangu unajichanganya akili, hivi katika sababu zote duniani za watu kutaka kujitenga ni kwanini uanze kufikiria masuala ya ukabila?

Kujitenga na masuala ya uhuru ni masuala ya kawaida, na kwa ufupi Nyerere alikuwa wa mwanzo kumpinga Nkurumah alipoleta wazo la kuunganisha Afrika.

Sasa sababu za kuungana na kufanya muungano hazipo, sio ati kwamba wazanzibari wanajifanya wao ni tofauti au wanajifanya wao ni waarabu.Hakuna sababu ya msingi ya kuwa na muungano huu...ni miaka sasa tumeshakuwa nao huo muungano, ni malumbano na migongano ya kikatiba isio na umuhimu wowote.

Nilishasema mara si moja wala mbili humu JF, muungano ni kitu kizuri lakini kwa bahati mbaya nchi zetu ni masikini na hazina uwezo wa kudili na mchakato wa muungano.

Hata hizo nchi unazozijua wewe zimeungana UK, US walipokuwa stage kama zetu za umasikini hawakudili na muungano...kwanza walitatua matatizo yao na kujiletea maendeleo, hadi walivyoona sasa mambo ya lazima wamemaliza ndio wakaanza na mambo ya ziada (i.e muungano) .

Sasa dhana ya muungano ni nzuri ni wazi kuwa inahitajika, lakini kwa mfumo gani na vipi tutatekeleza ndio utata.Sasa mie ni mmoja ya wazanzibari ambae naunga mkono jitihada zozote za kuvunja muungano.Sio kwasababu najisikia ni tofauti na muafrika mwengine, hili sijawahi kusema wala halimo kwenye akili yangu {naona watanganyika ndio wenye mtazamo huu}.

Sababu zangu ni kama nilivyooleza kuwa muungano ni kitu kizuri lakini complexity yake hatuna uwezo au hatuwezi kuipa priority....huwezi kudili na kutatua complexity za muungano,wakati watu wanakufa njaa!!

Hivyo uongozi ni kuchagua kipi kina high priority na kutumia resources vizuri, hizo ndio sifa za nzuri za uongozi ambazo naona JKN hakuwa nazo...unfortunately :cool:

Nikikupa mifano ya Oman point ni kwamba as far as they're concerned wewe si raia wao. kwa hivyo lazima uelewe where you belong hii aina maaana ya race ralationship but where you belong na loyalty inahitajika nyumbani kuliko ugenini Yakhe:cool:.

Mimi nafahamu nitokako, na wasiwasi mkubwa ni wewe ndio usiejua mimi natoka wapi na una lazima usikie kutoka mdomoni mwangu kuwa mimi ni Mmakonde.

Unfortunately, mie sina asili ya umasai wala umakonde...wapo wazanzibari wenye asili hiyo and they are very proud of it.Sasa usilazimishe kuwa wazanzibari wote unaokutana nao wakwambie mimi ni mbantu au mmakonde.Sio kama hawapendi, but its a fact they are not.Why shouldnt they be proud if they were??
 
Kwa faida ya wengi wasiofahamu hiyo data inatoka wapi, na nani aliefanya utafiti huo.Hiyo ni kampuni ya Canada:

NOR Energy AS is an international oil and gas exploration company headquartered in Calgary, Alberta, Canada.

NOR is a privately held company with assets in Tanzania and the Czech Republic.
 
Hapo kwenye suspention, probably due to union issue to be resolved....the company is waiting i guess

pg8.png
 
Si unaona haya ndio matokeo ya elimu ya Tanzania kujaribiana kwa mitego utadhani tupo kindergaten, talk by facts na sio mambo ya kulopoka tu ndio maana watu wana kushangaa unapiga vigelegele mwali ujampata.

Kitu kingine unasema raisi wa OPEC kasema nini sasa nchi zenye mafuta how do they go about pumping out oil how do member states in OIL cartel go about sharing the burden kama watu hawajui wana reserve gani.

Yes people take risks but based on certain information kuna vigezo fulani fulani ambavyo mtu anaweza gamble navyo. Sasa people like Shell or BP would have not been far apart knowing kuna mafuta. Kama uliivyoona Angola people would buy time knowing the potential huge by looking a geological facts huko tena subiri wataalam wa haya mambo wakuelezee.

Halafu hivi unaelewa maana ya Ukabila weye, kwani chakechake yapo hayo makabila au unaendeleza style zako kukurupukia mambo. Mimi sijasema ukabila anyhwere humu the first person to mention that word ni wewe.

Na sijasema kamwe sababu za kutengana ni ukabila, i have crossed that path in my reasoning abilities i do not see ukabila what i see is a conflict of ideologies hiwe imani, way of life, local logical reasoning etc. Hivi ni vitu ambavyo ni man made only they are not real but only act a social guidence. Hiklo ni somo lingine tena na siku nyingine.

Kwa hivyo ni sababu hizo hizo pia zinaweza leta mgawanyiko dhikidharauliwa au utaji zote hila hata moja tu ikivuka mpaka u know your heading towards problems. Clearly wapo tayari wenye hizi extreme views wewe ukiwa mmoja wapo na sababu zako uzijuazo wewe hila unababaisha tu, lakini ki ukweli ujioni mtanzania bali ni mzanzibari. Au unajiona mzanzibari first then mtanzania. Na ujali sababu zingine zozote bali uchoyo wa matakwa yako, wapo wazenji wengi sasa walio intermarry bara, wafanyabiashara wengi wanao vuka the channel daily yotee hayo we potelea mbali Mr Froasty anataka zanzibar yake, hila kwenye zanzibar yake kuwe na kisiwa cha pemba fill the gap what is the common relationship between the two utapata nusu jibu kutoka kwenye chako una matatizo gani first.

Hivyo wazanzibari hawa huu utaki muungano wao kama akina nani ni hawa viongozi tu wanawachekea zanzibar ni part of tanzania hivyo amna say on what happens there. the central government has to make the decisions na hiyo pia ina viongozi kutoka huko tena at the senior level of our civil services sasa laumu viongozi wazembe wasio waleteeni maendeleo na si muungano, kuna mikoa kibao bara pia ina matatizo.

Amna muungano usio na matatizo nani kanguongopea miungano ulio iitaja ilikuwa ya kubembelezana na ya hiari huo wa US ulikuwa implemented na CIVIL WAR na huu wa Uingereza ilibidi wa Mweke mfalme kutoka Scotland for the sake of the Union na mpaka leo kuna mifarakano sijui kama unaelewa sin fein, scottish party na other domestic demands ambazo westiminister na other sides inabidi wa-settle day in dayout. Hata hiyo UE ina matatizo yake.

Cha msingi hapa ni wewe kuacha fikra zako za kipuuzi na kuanza kupigania maendeleo ya Zanzibar ki haki na si kutaka kujiona vinginevyo.

Mwisho sio kwamba heti nasingizia ya kwamba mnataka kujifanya tofauti no ni kwamba mntabia za kutaka kujioona hivyo either consciously au unconsiouly hila inabidi mjielewe ni akina nani mkoloni was uninvited guest hana haki na zanzibar tanganyika hina haki zote za visiwa hivyo na watu wake.

Ps. case study nakupa uifuatilie kuna jamaa huku maarufu kwa mapishi yake. na ana kamgahawa chake kamjii mmoja eti nje kaweka welcome to afro-arabic restaurant na jitu bantu. halafu ndani anauza biriani (chakula chenye origin ya kihindi), chapati (ki-hindi), supu ya makongoro (wa bantu) etc sasa jiulize what was the reason to call afro-arabic when there was nothing of arabic origin apart ya yeye kuwa mzanzibari tena mmbantu. You see the problem its not the food but what he identifies himself what a pathetic luuuuza Sheik Hamisi.
 
Kuhusu identity ya mtu na anataka kujiita anatoka wapi, hiyo ni hiary ya mtu.Wala hili si tatizo kuwa Msudani akasema yeye ni muarabu, kwasababu anazungumza kiarabu.

Muarabu,Mzungu,Mhindi na Muafrika haya kwangu mimi ni makabila tuu.Wala siumii kama mtu mweusi kunambia yeye ni maurabu au ni mhindi.

Tatizo ninaloliona mimi ni kuwa wewe unaumia rohoni kuona huyo jamaa anapika biriani na unamuona black, unataka lazima ajinasibu unavyotaka wewe.Hili ndio tatizo ninaloliona hapa.

Tukirudi kwenye uzanzibari na utanzania, mimi ni kweli sijawahi kusema hata siku moja kuwa ni mtanzania wala sitaki kusikia upuuzi wa kitanzania.Mimi ni mzanzibari huyo babu yako Nyerere hana uwezo wa kunibadilishia mimi asili yangu.Zanzibar ilikuwepo tokea Nyerere hajazaliwa, na itaendelea kuwepo hadi mwisho wa dunia...you better put that in your head.

Sasa wewe mie nikiwa sitaki utanzania nataka nijitambulishe kama mzanzibari, wewe unaumia nini?Hio miungano unayoitaja Ireland, Scotland...hebu nenda kawaulize wewe ni nani?...jibu mimi ni Irish, Scotish n.k...hakuna mtu atakaekwambia mimi ni British {labda mgeni mwenye passport ya UK}

Sasa kuna ubaya gani mzanzibari kusema yeye ni mzanzibari?...Unataka lazima waseme wao ni watanzania, huo si ndio udictetor?Honestly, mie nawashangaa watanganyika jinsi walivyokubali utanzania...aaah nimesahau JKN alikuwa ni kama mtume kwenu :rolleyes:
 
Tanzania ni United Republic (Tanganyika + Zanzibar). However, kwa kusaini mkataba wa Afrika Mashariki (EAC), Tanzania haitakuwa tena United Republic, kwa vile itakuwa ni sehemu ya 'United Republic of East Africa'. Zanzibar inataka iingie kwenye 'United Republic of East Africa' kama vile Tanganyika, lakini kwa sasa Watawala wa Tanzania hawataki, hasa kwa vile itaonyesha bayana maana ya kuwemo kwenye East African community.

Two scenarios:

1. Zanzibar, being 'a marginalized partner' (according to some posts around here) of Tanzania-that-is-not-a-republic-anymore. So, the Zanzibaris will have to deal with His Exellency the President of United Republic of East Africa, Hon General Y.K. Museveni if they want to get out. Depending on the level of interest of Museveni (and the West) on controlling Zanzibar, Zanzibaris will have it easier or tougher.
2. Zanzibar will remain an independent Republic (or Sultanate) outside both Tanzania-province-of-EAC and EAC itself, or itself could become a Province of EAC.

So, If I were a Zanzibari wishing to get our sovereignty back, I'd just take a trip to Kampala, and to seek 'blessings' of Museveni, and voila! we get our country back when Tanganyika is finally under complete firm claws of EAC.

But for now, it is useless to discuss to whom the oil belong, because Oil, like other natural resources, will jointly be owned by EAC. Just a signature of Kikwete is missing, which is just a matter of time for the file to reach his desk... to sign it (does he have or know that he has any other option?)
 
Back
Top Bottom