Bakeza
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 348
- 192
Wanajamvi nakumbuka kuwa kulikuwa na kipindi ambacho kulikuwa na tetesi ya kwamba kuna hazina kubwa ya Mafuta Zanzibar. Na hapo nakumbuka kuwa kuna wanaharakati na viongozi wengi walikuwa wanapiga kelele sn hasa kutoka visiwan kuwa suala la mafuta liondolewe kwenye masuala ya muungano. Naomba kueleweshwa kwa nini hilo suala halisikiki tena? Naomba msaada tafadhali. Nawasilisha