Mjadala wa Dowans ITV wasitishwa

Mpui Lyazumbi

JF-Expert Member
Sep 1, 2010
1,856
371
Kuna tangazo naliona hapa itv ya kuwa kutakuwa na mjadala kuhusu dowans jumanne saa 3:00 usiku. Binafsi ningependa kujua sura ya sakata hili kipindi hiki.
 
Japo kuna watu wanasema tunapoteza muda tutaendelea kuwaonyesha watawala kuwa NOT ANY MORE.

Haiwezekani kukata tamaa, "No Retreat No Surrender"
 


MAFISADI MKOME HII SINEMA YA HIVI SASA JUU YA DOWANS LAASIVYO TUKAPOROMOSHE 'MI-WIKILEAKS' ZAKE HAPA MPAKA MJISIKIE KUFAKUFA HIVI!!!


ccm+evap.jpg

928 × 575 - Katuni husema vingi! Tazama hii. Kazi ya mchora katuni, ...
bwaya.blogspot.com

Hawa wamiliki wa Dowans wa KUKODI wala hatudanganyiki!! Lowassa na Rostam Azizi, kaundeni mpango mwingine; huu hapa tayari umeanguka kwa pua.

Na mkijaribu kubisha basi TUTAPOROMOSHA USHAHIDI KAMA MVUA HAPA kuliko hata ya Wikileaks mpaka mshangae wenyewe. Naona bora mkasimamishe hii sinema ya huyo Msaudia aliyeletwa nchini na Ridhiwani Kikwete tayari na makabrasha yote bandia, kabla hamjapata kuabika zaidi!!!!

Pindi mtakapomaliza uongo mzima basi mtuambie ili ndio mmanze kuumbuka rasmi mbele ya kandamnasi mnaofikiri hatuko-deep.​
 
Siyo kawaida ya Itv kuwa na kipindi cha mjadala jumanne, nadhani mzee Mengi anauchungu sana anavyoona mafisadi wenzie wanapotaka kula zawalipa kodi wa nji hii kirahisi rahisi namna hii.
 
Watz wote hamna kitu maneno tuuuuuuuuuuu, hamna lolote na tutakufa kwa maneno yetu wenyewe, tufnye kweli muone kama watarudia hawa *******
 
Siyo kawaida ya Itv kuwa na kipindi cha mjadala jumanne, nadhani mzee Mengi anauchungu sana anavyoona mafisadi wenzie wanapotaka kula zawalipa kodi wa nji hii kirahisi rahisi namna hii.

umepotoka? uombe radhi wna Jf?
 
Wawe wamejiandaa vizuri ndio mambo yatakuwa mazuri. Ningejua nani anaandaa ningewapa senti hamsini zangu za maoni.
 
Lazima tujadili kwa sana tu kuwaonyesha mafisihadi kuwa watanganyika hatudanganyiki kibwegebwege sasa. Huyo mmanga si aliikana dowans siku za nyma? Leo katokea wapi?
 
Endapo umeme utakatwa kwa sababu yeyote ile kweli itakuwa ni mchezo mchafu unachezwa. Lets wait and see
Mungu ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom