Mjadala: Tatizo la kujieleza kwenye usaili wa kazi

swali la 3: nina sikia wanakupima tu ili. ata ukisema wakulipe laki 3. sio kwamba utalipwa hiyo. kwenye mkataba ambao tayari umeshaandaliwa unakua unahiyo ammount. pia kwa uhakika unaweza fanya research about hiyo company. ujue watu walioanza fani hiyo wanalipwa tsh ngapi. let's us say tsh 600,000.
graduate unaweza sema kama hivi:

as a graduate, i am looking on a platform where i will show my talents and skills also the place where i will acquire knowledge and experience. for now i am not much interested on money. but i hope ur company will not let me down, you will pay me a good salary to support life in this town and according to your company's standard.

wakikubana sana ammount utaje, unaweza sema range kama

i think tsh 500,000 to 600,000 will be good for both of us.

hafu ndio mtaanza kunegotiate. usitaje kubwa sana wala ndogo ana.
 
swali la 3: nina sikia wanakupima tu ili. ata ukisema wakulipe laki 3. sio kwamba utalipwa hiyo. kwenye mkataba ambao tayari umeshaandaliwa unakua unahiyo ammount. pia kwa uhakika unaweza fanya research about hiyo company. ujue watu walioanza fani hiyo wanalipwa tsh ngapi. let's us say tsh 600,000.
graduate unaweza sema kama hivi:

as a graduate, i am looking on a platform where i will show my talents and skills also the place where i will acquire knowledge and experience. for now i am not much interested on money. but i hope ur company will not let me down, you will pay me a good salary to support life in this town and according to your company's standard.

wakikubana sana ammount utaje, unaweza sema range kama

i think tsh 500,000 to 600,000 will be good for both of us.

hafu ndio mtaanza kunegotiate. usitaje kubwa sana wala ndogo ana.

Asante ndugu. Swali la pili je?
 
Swali la pili ni nafasi yako kuongelea uwezo wako katika kazi, au sema mfanikio yako katika organization uliokua unafanyia mwanzo, au ata katika field zako kama wewe ni graduate. mfano:

sir/madam I assure you that i am the right candidate for this position on your ABC company. when Iwas working with XYZ company on the same position PQR, I managed to (mention your achievements ulivofanikisha in that company)... pia taja your vitu kama hardworking, eager to success, flexible, etc.

kama nimekosea nirekebishe.
 
Kuna rafik yangu wa tz aliulizwa ungependa ulipwe shilling ngapi? Yeye akatabasamu na kusema million moja na nusu si mbaya kwa kuanzia mkinipa
alikosa kazi sasa sijui hiyo inaweza kuwa sababu tu

Huyo nae aliua duuuhh!!
 
Kuna rafik yangu wa tz aliulizwa ungependa ulipwe shilling ngapi? Yeye akatabasamu na kusema million moja na nusu si mbaya kwa kuanzia mkinipa
alikosa kazi sasa sijui hiyo inaweza kuwa sababu tu

Sio rahisi kuwa ndo sababu si wangesema tu kuwa ni too much kama ni hivyo.

Anyway wataalamu wa negotion wanasema DAIMA kwepa kuwa wa kwanza kutaja mshahara maana unakuwa umejiweka kwenye position of weakness, ukitaja ndogo kuliko ambayo wako tayari kukupa basi ushajishushia mshahara.
 
Je swali kama hili ikiulizwa utajibu vp?What is your greatest weakness? Secret service tafadhali majibu.

This is among of the normal and frequently asked question during interview. ili swali wanakupima uwongo wako. usiseme to work hard, sijui kua eager to finish a job on time, kuwa muwazi. ongelea lile pungufu ulilokua nalo na unalifanyia kazi kulimaliza.

mfano: since i was in secondary school, i was not so much comfortable with public speech/presentation. whenever the time comes for me to present something infront of my fellow students/staff members, I was so worried. after knowing this weakness, I tried to participate on various presentation, speeches, dialogues etc... up to know the problem is little bit solved.

rekebisha english hpo am in hurry.
 
Mimi interview ambazo nilishafanya maswali huwa tunatumia english sasa kama nitakujibu ndivyo sivyo am sorry.

1. kwa nini umechagua kuomba kazi kwenye kampuni yetu / shirika letu.

2.Unadhani kwa nini tukuchague wewe na si mwingine kwa nafasi hii (nafasi uliyoomba)

3. Unatarajia tukulipe mshahara kiasi gani kama tukikuajili

Majibu kwa mtazamo wangu:

1. kabla ya kujibu swali hili kama kampuni ina website neda huko jifunze mission and vision za kampuni hiyo, values kama zipo basi wakati unajibu hautumii exactly maneno ya kwenye mission na vision yao ila unakuwa huchezi mbali na maeneo yao.

"You are a growing company, I would like to be part of you are family so that I can contribute in attaining your long and short term goals (kama unazijua unazitaja), you value and so do I, thus I believe we can work together to attain your mission/long term goals.Kumbuka "values" ni vitu ambavyo vinasaidia kufikia "mission" hapa kampuni nyingi sorry siyo kampuni kwani kampuni ni watu,watu wengi hawajui.

2. Why should we hire you? Unachotakiwa kujua mpaka umeitwa kwenye interview wamekuona unaweza kufanya nao kazi,interview ni sehemu ya kutaka kujua je wewe uko ulivyosema uko,do you have the skills sasa kama uli copy na paste maneno matamu bila kuyajua maana yake itakula kwako.

Ila kabla ya kuendelea kufaulu kwako interview inategemea sana na uelewa wa watu wanaokufanyia usairi,kuna mwingine unaweza ukajibu akaona umechemka kutokana na ufahamu wake nitatoa kazi mwishoni.Nirudi kwenye jibu "ukijibu because I have the right qualification/I qualify enough ndugu yangu kila aliyeitwa kweny hiyo interview anaqualify that is why ameitwa".

Kwa mtazamo wangu kwa sababu job description utakuwa unaijua,elezea ufahamu ulio nao,kazi ulizofanya ila katika uelezeaji connect na kazi husika inataka vitu gani. Kwa mfano mimi ni IT boy, so dont take it personal.
"the course I studied at univer, especially in networking,database admin,the work I did with company x, y and z enabled me to develop knowledge and skills that match with your job requirements.Thus I strongly(do not say I think ) believe I am the right candidate for this job."Huu ni mtazamo wangu tu.

3. Swali la tatu naona watu hawataki shida, eti "according to your salary scale'" kwangu mimi sikushauri hili liwe jibu.Hii inaonyesha you do not know your value,unataka kampuni ikuthaminishe,si kampuni zote zina salary scale, zingine ni jinsi ulivyo negotiate, au hamjhui kuna kampuni watu wanafanya kazi moja, experience sawa ila mishahara tofauti? Ofcourse hata yangu itakuwa hivyo. Why? Mshahara unategemea experince yako na uwezo wako ukiacha mambo ya shule. Jiulize, hujawahi kusikia kampuni inalipa pesa nyingi kwa mtu aliyesomea nje ya nchi kuliko wa ndani?Hata kama hukubali zipo. Wewe una watoto 3, mwenzio hata hana majukumu unaomba ulipwe according to salary scale? Ni wao wataamua kukulipa kwa salary scale au ulivyopendekeza, do not sell your self short.

Ladba niwasaidie how do you come to how much you should be paid hasa kama ni kazi yako ya kwanza .Kuna vitu huwa tuna angalia baadhi ni:

1.Kodi ya nyumba, umeme na maji unalipa sh ngapi kwa mwezi/
2.Nauli za kwenda na kurudi kazini kama hawatoi usafiri, hizi information unatakiwa uwe nazo only if you are a serious job seeker na haudip (mtaani kubeep wanaita kudip na maisha yanaendelea).
3.Chakula kwa siku wewe na familia yako kama ipo kwa wastani
4.Mavazi etc

The list may continue, mwingine anaweza weka bia, au fungu la kumi nakuamsha macho.
Sasa ukijumlisha hizo utapata kwa wastani basic needs zako ni sh ngapi,na hiyo ndiyo take home yako, then ujue take home inakuwa ni kama 0.677 ya gross.Tafuta gross sasa kama Maths ni shida mi simo. Figure utakayopata utailinganisha na rate ya mishahara yao only kama unaijua kama huijui you are safe kwani wakikubali kukupa hiyo pesa uliyosema isipokutosha ni wewe mwenyewe ulikosea kwa mfano hapo juu sijaweka "saving" je huna mapango wa kuwa una-save hata elfu 50 kila mwezi? Kama una mpango wa ku-save unaiongeza.

Sasa linganisha atakaye sema "pay me according to your salary scale" na yule atakayekuwa amefanya nilivyoshauri. Wakiluizwa "why do you want to be paid that amount?" Aliyefanya nilivyoshauri anachakuelezea house rent, transport, I do saving etc. Je, wa pili atajieleza vipi? Je atasema because it is your salary scale for this job? Kumbuka hata kama unaujua mshahara halisi hutakiwi kuonyesha unaujua. Kwa yule atakayejibu kwa kutoa range say Tsh 500,000 to Tsh 700,000, kama kampuni liko serious wanaminimize cost unadhani utapewa maximum? Watakulipa minimum in that case 500K.
 
At least good explanation.
Mimi interview ambazo nilishafanya maswali huwa tunatumia english sasa kama nitakujibu ndivyo sivyo am sorry.

1. kwa nini umechagua kuomba kazi kwenye kampuni yetu / shirika letu.

2.Unadhani kwa nini tukuchague wewe na si mwingine kwa nafasi hii (nafasi uliyoomba)

3. Unatarajia tukulipe mshahara kiasi gani kama tukikuajili

majibu kwa mtazamo wangu.
1.kabla ya kujibu swali hili kama kampuni ina website neda huko jifunze mission and vision za kampuni hiyo,values kama zipo basi wakati unajibu hautumii exactly maneno ya kwenye mission na vision yao ila unakuwa huchezi mbali na maeneo yao.
"You are a growing company,I would like to be part of you are family so that I can contribute in attaining your long and short term goals(kama unazijua unazitaja),you value... and so do I,thus I believe we can work together to attain your mission/long term goals.Kumbuka "values" ni vitu ambavyo vinasaidia kufikia "mission" hapa kampuni nyingi sorry siyo kampuni kwani kampuni ni watu,watu wengi hawajui.

2.Why should we hire you?Unachotakiwa kujua mpaka umeitwa kwenye interview wamekuona unaweza kufanya nao kazi,interview ni sehemu ya kutaka kujua je wewe uko ulivyosema uko,do you have the skills sasa kama uli copy na paste maneno matamu bila kuyajua maana yake itakula kwako.
Ila kabla ya kuendelea kufaulu kwako interview inategemea sana na uelewa wa watu wanaokufanyia usairi,kuna mwingine unaweza ukajibu akaona umechemka kutokana na ufahamu wake nitatoa kazi mwishoni.Nirudi kwenye jibu "ukijibu because I have the right qualification/I qualify enough ndugu yangu kila aliyeitwa kweny hiyo interview anaqualify that is why ameitwa".
Kwa mtazamo wangu kwa sababu job description utakuwa unaijua,elezea ufahamu ulio nao,kazi ulizofanya ila katika uelezeaji connect na kazi husika inataka vitu gani.Kwa mfano mimi ni IT boy,so dont take it personal.
"the course I studied at univer.. especially in networking,database admin,the work I did with company x,y and z enabled me to develop knowledge and skills that match with your job requirements.Thus I strongly(do not say I think ) believe I am the right candidate for this job."Huu ni mtazamo wangu tu .

3.Swali la tatu naona watu hawataki shida,eti "according to your salary scale'" kwangu mimi sikushauri hili liwe jibu.Hii inaonyesha you do not know your value,unataka kampuni ikuthaminishe,si kampuni zote zina salary scale,zingine ni jinsi ulivyo negotiate,au hamjhui kuna kampuni watu wanafanya kazi moja,experience sawa ila mishahara tofauti?Ofcourse hata yangu itakuwa hivyo .Why?Mshahara unategemea experince yako na uwezo wako ukiacha mambo ya shule,jiulize.Hujawahi kusikia kampuni inalipa pesa nyingi kwa mtu aliyesomea nje ya nchi kuliko wa ndani?Hata kama hukubali zipo.
ladba niwasaidie how do you come to how much you should be paid hasa kama ni kazi yako ya kwanza .Kuna vitu huwa tuna angalia baadhi ni
1.Kodi ya nyumba,umeme na maji unalipa sh ngapi kwa mwezi/
2.Nauli za kwenda na kurudi kazini kama hawatoi usafiri,hizi information unatakiwa uwe nazo only if you are a serious job seeker na haudip(mtaani kubeep wanaita kudip na maisha yanaendelea).
3.Chakula kwa siku wewe na familia yako kama ipo kwa wastani
4.Mavazi
etc
the list may continue,mwingine anaweza weka bia,au fungu la kumi nakuamsha macho.
Sasa ukijumlisha hizo utapata kwa wastani basic needs zako ni sh ngapi,then ujue take home inakuwa ni kama 0.677 ya gross.Tafuta gross sasa kama Maths ni shida mi simo.Figure utakayopata utailinganisha na rate ya mishahara yao only kama unaijua kama huijui you are safe kwani wakikubali kukupa hiyo pesa uliyosema isipokutosha ni wewe mwenyewe ulikosea kwa mfano hapo juu sijaweka "saving" je huna mapango wa kuwa unasave hata elfu 50 kila mwezi?kama unampango wa kusave unaiongeza.
Sasa linganisha atakaye sema "pay me according to your salary scale" na yule atakayekuwa amefanya nilivyoshauri.wakiluizwa "why do you want to be paid that amount?"Aliyefanya nilivyoshauri anachakuelezea house rent,transport,I do saving etc.Je wa pili atajieleza vipi?Je atasema because it is your salary scale for this job?Kumbauka hata kama unaujua mshahara halisi hutakiwi kuonyesha unaujua.
Kwa yule atakayejibu kwa kutoa renge say Tsh500,000 to Tsh500,000 ,kama kampuni liko serious wanaminimize cost unadhani utapewa maximum?Watakulipa minimum in that case 500K


 
What if nikiulizwa udhaifu wangu ni nini? Hilo ni swali gumu kidogo
Taja udhaifu ambao ukiwatajia utakujenga na si kukubomoa. Pia watajie udhaifu ambao unarekebishika na uwaambia unaufanyia kazi kuurekebisha. Mfano huwa nina loose temper nikiona watu ninaowasimamia wanafanya mzaha kwenye task muhimu,lakini ninafanya some initiatives ku control. Kwa hili boss yeyote atakupenda kwani kila boss anapenda watu serious. Pia waweza sema i am shy in public presentations but i am attending some trainings and keep on practicing on that.
 
Back
Top Bottom