Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

wakuu hizi habari ni kweli kabisa no joke.....i know mtu wa karibu kaenda kule na kapona ugonjwa mmoja wapo......mganga hataki zaidi ya 500 na huo mti dawa upo kila mahali ila lazima akupe yeye hayo ndio niliosikia ila its true kabisa....uliza watu wa arushab watakuambia ongezeko la magari mjini hapo
 
hii ni kweli kabisa niliambiwa na jirani yake wa huko loliondo na dose is taken only once.

WiseLady, hii habari ina ukweli lakini wasije watu wakafunga safari kutoka mbali mpaka arumeru wakakuta patupu!!!:A S 13:
 
wakuu hizi habari ni kweli kabisa no joke.....i know mtu wa karibu kaenda kule na kapona ugonjwa mmoja wapo......mganga hataki zaidi ya 500 na huo mti dawa upo kila mahali ila lazima akupe yeye hayo ndio niliosikia ila its true kabisa....uliza watu wa arushab watakuambia ongezeko la magari mjini hapo

..Ni mti ?

... walisema anasalia maji tu! ...and you are done!
 
..Ni mti ?

... walisema anasalia maji tu! ...and you are done!
ni mti dawa...kwa mujibu wa aliokwenda na kupata matibabu pale ni kwamba unakuja unasema shinda yako then anakupa dawa ya kunywa unasepa....majibu after 7 days....
 
WiseLady, hii habari ina ukweli lakini wasije watu wakafunga safari kutoka mbali mpaka arumeru wakakuta patupu!!!:A S 13:

Siyo arumeru mkuu ni loliondo ni habari ya kweli kama Yoyo alivyosema na ni kweli lazma akupe yeye mwenyewe maana alioteshwa na Mungu according to yeye.Watu wamepona sasa hivi ndo habari zinaanza kusambaa kidogo kidogo
 
Anatibu "HIV" au "AIDS/UKIMWI"?
 
Anatibu "HIV" au "AIDS/UKIMWI"?
yeah man....
Siyo arumeru mkuu ni loliondo ni habari ya kweli kama Yoyo alivyosema na ni kweli lazma akupe yeye mwenyewe maana alioteshwa na Mungu according to yeye.Watu wamepona sasa hivi ndo habari zinaanza kusambaa kidogo kidogo
yeah man.....
msiingizwe mkenge hachaji zaidi ya 500 na anatibu baada ya kumuona mgonjwa hatibu ukiwa mbali nae.....kwa wenye kansa anatibu ukiwa ujapata mionzi...
 
Mkubwa siyo mganga ila ni mchungaji alioteshwa na kupata hizo nguvu za kiroho za kutoa tiba kwa magonjwa yaliyoshindikana.

Binafisi nakwenda huko na nitaondoka Arusha saa 10 za usiku wa leo ili niweze kwenda na kurudi. Bado nina nafasi mbili kwenye gari na kama utakuwa tayari kuchangia mafuta shs 100,000 unaweza you can PM me for arrangement. Usiniulize naumwa ugonjwa gani.

Nauli ya public transport ni shs 70,000 go and return
 
Ni kweli hii habari imeenea sana hasa Moshi na Arusha. unapanda magari yanayoenda karatu unashuka mto wa mbu kuna cruiser za tours zinaenda pale kwa 50,000 au 60,000 ukanzia Moshi ni 70,000 kwa gari hizo za tours. Ni habarinjema na watu wanaoenda huko ni wengi ajabu
 
I sometimes dont understand these things:
1. Ameoteshwa na Mungu
2.Lazima akuone ndio upone
3.Dawa ni 500 tu.
Hivi Mungu anabagua? yule bibi kizee pale mtwara ana kansa halafu nauli ya kwenda kule hana si utakufa na hiyo kansa!
Ina maana hii ni tiba kwa wenye uwezo wa hiyo 70,000 ya usafiri tu.
kwanini anacharge 500, dawa ambayo angeweza charge 100,000,000,000,000..... na akapata wateja?
Siwezi chemsha hiyo mizizi mwenyewe nikanywa nikapona?
 
I sometimes dont understand these things:
1. Ameoteshwa na Mungu
2.Lazima akuone ndio upone
3.Dawa ni 500 tu.
Hivi Mungu anabagua? yule bibi kizee pale mtwara ana kansa halafu nauli ya kwenda kule hana si utakufa na hiyo kansa!
Ina maana hii ni tiba kwa wenye uwezo wa hiyo 70,000 ya usafiri tu.
kwanini anacharge 500, dawa ambayo angeweza charge 100,000,000,000,000..... na akapata wateja?
I really dont know why am thi much confused any way Blue Balaa will come with the answer.(Tunaomba ukirudi tupe full data mkuu)
ila ninaamini kama Mungu amemuonyesha dawa, awaonyeshe wengine hiyo miti wajitengenezee wenyewe hizo dawa wapone.
Jesus alipewa uwezo huo mamia na maelefu walivuka mpaka kumfuata waponywe....manabii walipewa nguvu watu wavuka mabonde na milima kufuata maponyeo...suala la yeye kutochaji mahela mengi hatujui..
Mbona unasafiri toka kwenu songea kuja moshi kufanyiwa upasuaji?? mbona hukukaa uko uko ukapata tiba kwa njia unayojua wewe?

by Yo Yo's Daughter
 
wakuu hizi habari ni kweli kabisa no joke.....i know mtu wa karibu kaenda kule na kapona ugonjwa mmoja wapo......mganga hataki zaidi ya 500 na huo mti dawa upo kila mahali ila lazima akupe yeye hayo ndio niliosikia ila its true kabisa....uliza watu wa arushab watakuambia ongezeko la magari mjini hapo

Jumapili alfajiri yaliondoka magari zaidi ya 10 kupeleka wahitaji wa tiba hiyo!!!!
Kuna jamaa napiga nae mzigo hapa ofisi anasema yeye alimpeleka kid wake na amepona kabisa!!!
 
Je anatibu magonjwa tuau anatoa na dawa kwa wenye shida yakupata mtoto? Plz nijuzen jaman nina ndugu yangu anashida hiyo. Na je wenye HIV walioanza kutumia dawa nao wanapona?
 
Je anatibu magonjwa tuau anatoa na dawa kwa wenye shida yakupata mtoto? Plz nijuzen jaman nina ndugu yangu anashida hiyo. Na je wenye HIV walioanza kutumia dawa nao wanapona?

Ntakujuza ngoja niulize jamaa aliyeko huko.......
 
napenda kuwaambia watz waache kuhoji ukweli bali wachukue ndugu zao waliothibitika na ugonjwa wowote aende na atapata jibu ndani ya siku 7. ni vile hatukumbuki kuwa MITI NA MIMEA ni TIBA. Huyu Mzee hafanyi miujiza bali anatibu KIUKWELI KWELI. TEMBO ndiye mnyama pekee asiyepatwa na MAGONJWA ya aina yeyote ile. na siri yake ni ULAJI wa MCHANGANYIKO WA MIMEA IOTAYO. KUMBUKENI KILA KIOTACHO KTK ARDHI KINA FAIDA AU HASARA KTK MWILI WA MWANADAMU. na HASARA NI 0.05%. Tuache tabia za Thomaso kwani Mzungu hawezi ikubali tiba tokana na UKIMWI ni Biashara kwao kama ilivyo SILAHA. FUNGUKENI MACHO WATZ.
 
Hata mimi nilipata habari zake nikiwa Arusha hivi karibuni. Tiba ni mia tano tu. UKITOA ELFU KUMI ITABIDI WATU ISHIRINI WASIPE IWE UMEWALIPA KAMA HUTAKI CHENJI! HOFU YANGU MULTNATIONALS WAKISIKIA! SIJUI.
 
Hizi habari zina ukweli kabisa mie nipo Arusha tangu ijumaa jumamosi kuna watu walienda nimekutana nao leo wanachekelea, ni vema wenye matatizo wakajitahididi kwenda kumwona huyu Mtumishi wa MUngu na anatibu kwa JINA LA YESU si vinginevyo
Naamini PRETA NA PJ watakuwa wameshasikia hizi taarifa na kwa muda wao wanaweza na wao wakatoa ushuhuda wao hapa
 
Back
Top Bottom