Karibuni masijala
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 409
- 135
Wanajamvi naombeni hoja kwa mjadala huu.
Leo nimemsikiliza MwL Nyerere hotuba zake pia mijadala iliyoandaliwa na vyombo vya habari wiki nzima kwa vipindi mbalimbali vikahitimishwa na masaa 4 Udsm na UDASA kumchambua MwL.
Utendaji wake na mtazamo wake kwa Tanzania hata kwa vizazi vijavyo. Nimeamini alikuwa anajua alijiandaa kuwa zaidi ya Rais. Kutoa taifa hatua moja kwenda nyingine ya Matumaini na hata kuona taifa la miaka 50 ijayo lilinde Misingi aliyoamin ili lidumu.
Kweli alifanikiwa historia mpaka hii 50 iishe itamkumbuka
Jk mdogo\kijana nadhan ndoto yake ilikuwa ni awe rais hakuwa na la zaid ndo maana anashangaa yanayotokea mwaka wa 7 huu.Jambo la kihistoria hakuna ingawa alikuwepo wakati wa mwalimu.
We una maoni gani alikuwa na la kuifanyia Tanzania baada ya kutimiza ndoto ya kuwa rais alitambua Tanzania na changamoto zake kama MwL atumie hiyo nafasi kutuonyesha njia kuzitatua kwani kuongoza kuonyesha njia; atakuwa na cha kuenziwa kama JkMwL alikufa matendo na Kauli ZINAISH na ni Update mpaka KESHO