bobzenden93
Member
- Sep 28, 2016
- 33
- 53
Watu wasingejengaAverage in DSM TZS Million 100/=
With Kigae, Tiles, Fence, paint, plumbing, electricity etc.
Watu wasingejengaAverage in DSM TZS Million 100/=
With Kigae, Tiles, Fence, paint, plumbing, electricity etc.
Polee sana.....kwakuwa umeshajitambua....uza....fanya buzs...focus kwenye kugenerate more income...kisha utarejea kwenye ujenzi baadae. Am just thinking!Bora niendelee kupanga, na ningejua ndivyo hiyo pesa ningeongeza mtaji kwa biashara yangu ningepata pesa zaidi ambazo zingenipa uhakika wa kilipa kodi, leo nimezika pesa chini, nabaki na hasira kama vile nilitumwa kumbe ni dhamira nzuri ila mipango mibovu
Watu wasingejengaVyumba vitano? hiyo siyo ya kawaida ni jumba kubwa tu! Kama upo Dar, andaa kwa uchache milioni 200.
Hii formula inarahisisha lkn ni sahihi kweli?Kwa haraka haraka nitakupa makadirio maana ndizo kazi zangu hizo chukua square meter za ramani yako times 500,000 utapata garama ya morden house with everything you need.
Kama hujaelewa nina maana Urefu X Upana X 500,000=Construction cost
Hapo nina maana unatumia mkandarasi.
Jamani naomba niulize kwa wana JF ambao ni wataalamu wa ujenzi.
Naomba wanipatie bajeti ya kujenga nyumba ya kawaida yenye vyumba 5, sebule, kitchen, dinning na sitting room ina cost kwa makisio shilingi ngapi?
Naomba nielimishwe,
Asanteni.
======
SIMILAR CASES:
mahesabu hayoHii formula inarahisisha lkn ni sahihi kweli?
Mpaka nahisi kishindo cha post yako hii! Atakuwa ameelewaVyumba vitano wewe Tembo? Au unajenga guest house? Au una familia kubwa kiasi gani?! Jenga vyumba 3 inatosha hata kama una watoto 5; kuna siku mtabaki wewe na mkeo tu then nyumba inakuwa kero usafi na mwangwi na kuongeza upweke! Ukinunua vifaa mwenyewe na kusimamia vizuri milioni 35 - 40 utakuwa na kajumba kazuri ka kujivunia. Ukiwa Mangimeza wa kuagiza mafundi wakufanyie kila kitu andaa 100mln na utaambulia nyumba jina, matofali biskuti, linta ya mchanga, nondo milimita 1 na sakafu inatitia! Bongoland hii kila mtu mwizi, anamvizia mwenzie! Kila la kheri
ingekuwa hivyo wenye mipato cha chini wasinge jenga...Average in DSM TZS Million 100/=
With Kigae, Tiles, Fence, paint, plumbing, electricity etc.
jinsi nyumba inavyokuwa kubwa ndivyo gharama zinavyokuwa kubwa...Vyumba vitano? hiyo siyo ya kawaida ni jumba kubwa tu! Kama upo Dar, andaa kwa uchache milioni 200.
hapo mtu hata hajaangalia mahitaji yake ila waswahili wenzake wamsifu kwa Bangaloo kivyako kiumbe kipyaVyumba vitano wewe Tembo? Au unajenga guest house? Au una familia kubwa kiasi gani?! Jenga vyumba 3 inatosha hata kama una watoto 5; kuna siku mtabaki wewe na mkeo tu then nyumba inakuwa kero usafi na mwangwi na kuongeza upweke! Ukinunua vifaa mwenyewe na kusimamia vizuri milioni 35 - 40 utakuwa na kajumba kazuri ka kujivunia. Ukiwa Mangimeza wa kuagiza mafundi wakufanyie kila kitu andaa 100mln na utaambulia nyumba jina, matofali biskuti, linta ya mchanga, nondo milimita 1 na sakafu inatitia! Bongoland hii kila mtu mwizi, anamvizia mwenzie! Kila la kheri
Kama eneo sio linalotuamisha Maji unaweza kuchimba ndani kama futi 1 au pia unaweza kushusha paa na ukaongeza tofali 2 hapo juu itategemeana na hali yako kiuchumihabari zenu
je kama nyumba imeshaezekwa na imewekwa gypsum tayari halafu ikaonekana fupi ndani je unaweza kufanya nini ushauri tafadhali
Khaa we kweli mwenzangu na mimi kwenye hesabu, yaani hapo nihiviHii imekaa sawa kweli? ina maana kwa nyumba ya vyumba 5 alioulizia mkuu inaweza kuwa around Tzsh 25 - 30 Million?.
Hii ukikadiria kwamba kila chumba kitakuwa na ukubwa wa 10 square meters. ((10 x 5) x 500,000) = 25,000,000.
Kwa utaratibu huu mbona gharama zitakuwa ni ndogo ukilinganisha na gharama tunazozisikia kila siku?
Jamani naomba niulize kwa wana JF ambao ni wataalamu wa ujenzi.
Naomba wanipatie bajeti ya kujenga nyumba ya kawaida yenye vyumba 5, sebule, kitchen, dinning na sitting room ina cost kwa makisio shilingi ngapi?
Naomba nielimishwe,
Asanteni.
======
SIMILAR CASES:
mkuu nasikia 500,000 per square metre ni ya zamani sana.Khaa we kweli mwenzangu na mimi kwenye hesabu, yaani hapo nihivi
Anatakiwa aangalie katika raman ya nyumba yake kuna scale wengi hutumia m au wengine cm then kama wametumia cm uta convert to m mfano nyumba yako ina urefu 1600cm kwa upana 1300cm maana yae itakuwa ni mita 16 x mita 13 x 500000 = 104,000,000/= na hilo ndo jibu sahihi.
MKUU UNAUHAKIKA?Kwa haraka haraka nitakupa makadirio maana ndizo kazi zangu hizo chukua square meter za ramani yako times 500,000 utapata garama ya morden house with everything you need.
Kama hujaelewa nina maana Urefu X Upana X 500,000=Construction cost
Hapo nina maana unatumia mkandarasi.