Mizinga Kupigwa Mtoni Kijichi: Mazishi ya Brigedia Jenerali Abdu K. Matinga's

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,402
1,254
Nimesikia kwamba kuna mazishi ya Brigedia Jenerali Abdu Matinga's, saa nane mchana. Pahala - Mtoni Kijichi, Dar-es-salaam, Mizinga ya heshima itapigwa kama ilivyo taratibu. Hivyo wananchi wa maeneo hayo wasitaharuki kwa mshituko, maana walishawahi kukumbwa na janga la milipuko ya mabomu.

Inna Lillah wainna Ilaihi Rahihunna.

Namkumbuka huyu akiwa JKT makao makuu na nilisoma na mdogo wake Dr Matingas.

Inna Lillah wainna Ilaihi Rahihunna.

Namkumbuka Kamanda enzi zake yupo JKT!

Anazikwa karibu na shule yake ya Neluka au?

anazikwa pembeni ya ya shule ya neluka kuna nyumba yake na aalikuwa anakaa humo.barabara ya neluka imefungwa wanajeshi wametapakaaaa
 
Nasikitika kusikia habari za kifo cha Matingasi...mimi nimesoma shule yake ya Neluka kati ya mwaka 2002 na 2003 kiukweli nililelewa katika maadili mema na nidhamu ya hali ya juu...mkazo wa sule yake ulikuwa ni nidhamu elimu na mazingira...RIP matingas....
 
ndo inapigwa huku saa hizi najuta kuja huku natamani kukimbia loh!!!!!!!!!

Mkuu yaani hivyo vimizinga tu unajuta je ukikutana na ballistic missiles ingekuwaje? Shukuru kaamani haka ka kuunga unga vinginevyo kwa wenzetu hiyo ndio order of the day.
 
Inna Lillah wainna Ilaihi Rahihunna.

Namkumbuka huyu akiwa JKT makao makuu na nilisoma na mdogo wake Dr Matingas.

Inna Lillah wainna Ilaihi Rahihunna.

Kila mtoto au ndugu wa Kigogo either utasema unamfahamu mtoto wake, nilisoma na mdogo wake, nilifanya naye kazi pale Wizarani..................!!!! Au na wewe ni mtoto wa Fisadi. Ni nini kilikufanya uhamie Uarabuni na kuachana na Mafisadi!!!
 
Back
Top Bottom