Mizimu Ndani Ya CCM.....UV-CCM Tuko Tayari Kuwaongoza Vijana Kwenda CHADEMA

Kwa wale mnaofatilia maswala ya kisiasa, nadhani mmejiuliza ni kwanini kijana February Ma-ropes amekuwa kimbelembele sana, yaani amekuwa kama ndiye waziri wa nishati?? Amekuwa akijifanya mchapakazi sana, asiye na uhusiano na serikali ya JK, huyu kada wa Mafisadi, RA na EL ana mengi mazito.........UV....CCM tumemstukia tunaanza kuyamwaga. Ikiwa Hawatakubali mabadiliko ya Kweli, Tunaelekea CHADEMA

Mimi ni mjumbe kwenye kamati kuu ya UV-CCM; Mwezi February, niliandika taarifa kuhusu kudorora kwa uhusiano kati ya mkuu wa kaya na katibu mkuu wa chama tawala mzee Yusuf Ma-Ropes, lakini moderator akaja kuliondoa. Kwa sasa taarifa zimeshavuja kwamba Sekretarieti nzima ya Chama Tawala Imejiuzulu na uchaguzi wa viongozi wapya ni hapo kesho.

Hapa nipo Dodoma na mambo siyo mazuri. Wajumbe wa kamati kuu wamekuwa wakimlaumu katibu mkuu kuwa chanzo cha kuchukiwa kwa chama tawala. Ila ukweli wa mambo ni kwamba, mambo ni mazito zaidi ya tunavyoyafikiria. Uhusiano kati ya mkuu wa kaya "Jokabaya Mrishole Kiwete na Mzee wa Mipasho Yufusu Ma-Ropes umedorora kwa kiasi kubwa kweli. Kwanza, Mkuu wa Kaya Jabaya Kiwele, alimlaumu sana Mzee wa Mipasho Y. Ma-Ropes, kuingilia machakato mzima wa kura za maoni ndani ya chama tawala, kwa bahati alifanikiwa kuwaingiza aliowataka pamoja na mwanaye.

Mzee maropes alionekana kuwatoa viongozi waliochaguliwa kihahali na kuwaingiza watu wake. Hii ilikuwa ni dhahiri kule kwa Bashe, na hata kwa mzee Shelukindo, chama tawala kilitumia nguvu ya chama na serikali kuhakikisha mwanaye mzee maropes, Yaani Kijana February Ma-Ropes kutwaa ubunge wa Jimbo la Bumbuvili..Siyo hayo tu, tangu mwanzo, Mzee maropes alishasuka dili na mzee wa kaya kwamba mara tu mwanayee anapoutwaa ubunge, apewe uwaziri.

Hii ilikuwa ni dili iliyokuja kuharibika baada ya Usalama kupata taarifa kutoka kwa wamarekani kwamba mwanaye Ma-ropes alishiriki kwenye mambo ya kighaidi mtandaoni kwa kumtishia binti wa kifamilia moja tajiri sana huko marekani. Kwani hii ilimuwepa pabaya mzee wa kaya, alilijibu swala hilo mwenyewe Baada ya kupokea hizo taarifa. Mkuu wa kaya alibadilika ghafla na kutupilia mbali pendekezo la kumpa uwaziri kijana February, kwani hapo mwanzo huyu kijana pia alikoroga na kumpa kashfa kubwa kwenye mradi wa malaria nomore. Hasira zilimjaa mzee maropes baada ya mwanaye kutoswa, ambaye alilazimika kuingia kwenye siasa za makundi kisirisiri. Mzee maropes aliingia kwenye kundi la wakina RA na EL

Kwa sasa, Mzee maropes, kamsukuma mwanaye pia kwenye kundi la Rosutamu Azize, na Edwardo Lowassana. Kijana February, amejenga bifu na mkuu wa kaya, baba yake naye hivyo hivyo ingawa hawezi kuonyesha kwenye umma kwani ni lazima washirikiane katika maswala ya kikazi. Mzee wa mipasho Y--Ma-Ropes, amepania kuwaacha wanaye kwenye nafasi nyeti. Mpango mzima ni kuwanadi kwenye media kuwa wachapakazi, hasa Mwambao wa Vodacom na February wa Bumbuvili. Lengo ni kumuacha bintiye mkuu wa mkoa, au mbunge viti maalum na kijana waziri. Kwa hiyo ushirikiano wake na RA na EL ni wa kwa manufaa binafsi na familia yake. Hatuwezi kukubali, kwani huyu February, anajaribu kutuvuruga hata sisi UVCCM

Kwa sasa huyu mzee ana bifu za kichinichini na JK kwa maana JK hakumchagua mwanaye kuwa Waziri. Basi hapo, akajiingiza kwenye mtandao wa RA na EL ili mwanaye awepokwenye baraza lijalo. Kwa hiyo tusibirini ni yapi yatajitokeza Dodoma Kesho, nitawahabarisheni zaidi... mara mambo yakizidi kushuka. Hatutaweza kuliongoza Chama ikiwa mabadiliyo tunayaoyataka hayatazingatiwa. Tuko Tayari Kwenda CHADEMA

ndugu,uhusiano wa marope na el n ra haujaanza jana wala juzi,una zaidi hata ya muongo mmoja! Binti marope ana miaka minne pale voda...utaweza kuona

ccm haibebeki, ni hali ya sikio la kufa...nyie amueni kabisa kwenda chama mbadala,bado vijana nyie msibweteke na ahadi ya nchi hio ya kusadikika.

Mnasubiri CCM iharibikiwe ndo Mje CHADEMA kuiharibu kama mlivyoiharibu CCM? Huo ni unafiki Mkubwa kama wa Shitambala ....Kama unakuja njoo mapema kabla CCM haijaharibika siyo kusubiri iharibike ndo uje huku!

mbona humsemi yule aliyefukiwa nusu ili baada ya ck mtangaze kafufuka kama Yesu?kabla ya cku kufika Nguruwe ikampitia na kumla,na ndio ukawa mwisho wa uhai wake.au mnafikiri hatujui kwa nn hamli KITIMOTO!

Ndugu punguza jazba. Mjinga usishindane naye kwani hajui ukuu na mamlaka ya Mungu. Kwamba Bw. Yesu alikufa hilo halina ubishi lakini muda mfupi baadaye kilitokea nini? Hata Shetani anajua kilichotokea sembuse mwanadamu tu aliyerithi dini "yake" kutoka kwa wazazi wake! Wengine wote, hata mwanzilishi wa dini yake, wako makaburini hata leo wakimsubiri huyu anayekebihiwa aje kuwahukumu - ndivyo pia visemavyo vitabu vyao.

Tuachane na ushabiki wa dini tuende na mada iliyopo jamvini.

ChAdema at work. Msitake kutudangannya watu waxzima na akili zetu. Mtawapata hao hao mafala kuwarubuni. Ulikolala wewe, sisi tushapapita toka juzi. Mnafik.[/QUOTEacha pumba umepewa data ukitaka meza ukitaka tema, kwani nani hajui kuwa ccm imeoza! Mnashindwa kusimamia mnachokini. ccm Kwishney

Ndugu yangu unanishangaza unaposhangaa eti Makamba kuwa kwenye kundi la kina RA na El kwani JK yeye hayuko huko? Mbona kwenye kampeni aliwanadi hadharani na kasema RA kakamilika kila idara. Nani alimnadi RA kwenye kampeni Makamba au JK. Nnachotaka kukuamnia ni kuwa JK ana ushirika na hao majambazi kuliko makamba. Yaani CCM hakuna kiongozi muadilifu wote wameoza.Kama mnafikiri Ma-ropes ndo mbaya wenu kuwaharibia chama mbaya wenu ni mfumo mzima wa chama chenu unaoanzia kwa mwenyekititi wenu ambao unalinnda majambazi, wezi na dhuluma nyingi kwa jamii.
Ukihamia CDM uhamie kwa kuwa unachukia uonevu na uozo wa CCM si ugomvi wa wezi waliozidiana kete.

Mtoa mada ni Muongo, anaonekana hata UV-CCM haifaham vizuri, kwani katika Uvccm hakuna kitu kinaitw kamati kuu, sasa wewe ni wa uvccm ya wapi?
Ni bora ungeongelea facts tu ungeeleweka, lakini umeweka na kauongo hapo ndipo inafanya hata credibility ya ulichowasilisha kupungua!

CCm ni ajira ukiondoka wengine wanakimbilia ulaji mtupu hiyo ndo siasa ya bongo nja na kuzungushana kila mtu anachukua chake mapema. Hata ukienda chadema nako ni njaa tu wakipata nguvu zaidi hao ndo watakatana mapanga.

Kafa Nyerere aliyeianzisha itakuwa CCM. Na Yesu jee, tena Mungu, "kafa". Itakuwa chama.
Muache MUNGU aitwe MUNGU, na kamwe usimfananishe na uchafu huu.MUNGU hana mwanzo wala mwisho. Siku zote yeye hushinda. MUNGU huyu ni UKWELI na ni sauti ya masikini na wanyonge wa nchi hii.Hivyo kwa sababu mafisadi wamefumbwa macho wasione na masikio wasisikie na kutambua kwamba wanapambana na MUNGU wanataka kutumia njia chafu kujisafisha.Tutarajie anguko lao kuu na aibu, kwani kamwe hawatoshinda UKWELI. Njia sahihi kwao ya kujisafisha ni kutubia uovu wao mbele za MUNGU na Watanzania, huku ndo kujisafisha kuliko bora.

Hivi mtu anajisikiaaje anapokuwa ni mwana CCM ?

Chama kinakusanya watoto na kuwajaza ukumbini ili wachangie muswada. Wapi na wapi?

Kafa Nyerere aliyeianzisha itakuwa CCM. Na Yesu jee, tena Mungu, "kafa". Itakuwa chama.

Naomba toa neno Yesu pls! jenga hoja nzuri

mbona humsemi yule aliyefukiwa nusu ili baada ya ck mtangaze kafufuka kama Yesu?kabla ya cku kufika Nguruwe ikampitia na kumla,na ndio ukawa mwisho wa uhai wake.au mnafikiri hatujui kwa nn hamli KITIMOTO!

Wewe pia umeenda kulekule kwa majimshindo, hoja ni siasa imani imetoka wapi,msitupeleke pabaya kwa uwezo wenu mdogo wa kufikilia na kuchangia! hapa ni ccm na chadema sio dini sawa mkuu!

Kwa sasa huyu mzee ana bifu za kichinichini na JK kwa maana JK hakumchagua mwanaye kuwa Waziri. Basi hapo, akajiingiza kwenye mtandao wa RA na EL ili mwanaye awepokwenye baraza lijalo. Kwa hiyo tusibirini ni yapi yatajitokeza Dodoma Kesho, nitawahabarisheni zaidi... mara mambo yakizidi kushuka. Hatutaweza kuliongoza Chama ikiwa mabadiliyo tunayaoyataka hayatazingatiwa. Tuko Tayari Kwenda CHADEMA
CHADEMA watakua wapumbavu kupokea takataka kama hizi za mwingereza, na wenzake... post nzima haina substance zaidi ya majungu wakati chadema needs substance and strategists

poor thing....

bad try dude...

Mawazo ya mtoa hoja ni mazuri. Tusimuweke kona mbaya na kuhisi ana niya mbaya. Tuwape uhuru kwamba wale wanaojiona wanawezana na CDM wajiunge.

Lakini tahadhari moja nionayo ni kwamba, UVCCM ina vijana wengi ambao ni 'misheni town'.

Hawatakuwa na mchango wowote ndani ya CDM. Kule CCM hata ukijua vijembe na mashairi ya kushambulia wengine, tayari unapewa nafasi. Lakini CDM vijana wao wengi ni watu wa kusugua vichwa.

Jiungeni ili kuiweka wa nchi wima. Nadhani udhaifu a CCM umejitokeza baada ya kupata upinzani wa nguvu kiasi fulani.

Muache MUNGU aitwe MUNGU, na kamwe usimfananishe na uchafu huu.MUNGU hana mwanzo wala mwisho. Siku zote yeye hushinda. MUNGU huyu ni UKWELI na ni sauti ya masikini na wanyonge wa nchi hii.Hivyo kwa sababu mafisadi wamefumbwa macho wasione na masikio wasisikie na kutambua kwamba wanapambana na MUNGU wanataka kutumia njia chafu kujisafisha.Tutarajie anguko lao kuu na aibu, kwani kamwe hawatoshinda UKWELI. Njia sahihi kwao ya kujisafisha ni kutubia uovu wao mbele za MUNGU na Watanzania, huku ndo kujisafisha kuliko bora.

Anaekufa ni "mungu" sio Mungu.

Kwa wale mnaofatilia maswala ya kisiasa, nadhani mmejiuliza ni kwanini kijana February Ma-ropes amekuwa kimbelembele sana, yaani amekuwa kama ndiye waziri wa nishati?? Amekuwa akijifanya mchapakazi sana, asiye na uhusiano na serikali ya JK, huyu kada wa Mafisadi, RA na EL ana mengi mazito.........UV....CCM tumemstukia tunaanza kuyamwaga. Ikiwa Hawatakubali mabadiliko ya Kweli, Tunaelekea CHADEMA

Mimi ni mjumbe kwenye kamati kuu ya UV-CCM; Mwezi February, niliandika taarifa kuhusu kudorora kwa uhusiano kati ya mkuu wa kaya na katibu mkuu wa chama tawala mzee Yusuf Ma-Ropes, lakini moderator akaja kuliondoa. Kwa sasa taarifa zimeshavuja kwamba Sekretarieti nzima ya Chama Tawala Imejiuzulu na uchaguzi wa viongozi wapya ni hapo kesho.

Hapa nipo Dodoma na mambo siyo mazuri. Wajumbe wa kamati kuu wamekuwa wakimlaumu katibu mkuu kuwa chanzo cha kuchukiwa kwa chama tawala. Ila ukweli wa mambo ni kwamba, mambo ni mazito zaidi ya tunavyoyafikiria. Uhusiano kati ya mkuu wa kaya "Jokabaya Mrishole Kiwete na Mzee wa Mipasho Yufusu Ma-Ropes umedorora kwa kiasi kubwa kweli. Kwanza, Mkuu wa Kaya Jabaya Kiwele, alimlaumu sana Mzee wa Mipasho Y. Ma-Ropes, kuingilia machakato mzima wa kura za maoni ndani ya chama tawala, kwa bahati alifanikiwa kuwaingiza aliowataka pamoja na mwanaye.

Mzee maropes alionekana kuwatoa viongozi waliochaguliwa kihahali na kuwaingiza watu wake. Hii ilikuwa ni dhahiri kule kwa Bashe, na hata kwa mzee Shelukindo, chama tawala kilitumia nguvu ya chama na serikali kuhakikisha mwanaye mzee maropes, Yaani Kijana February Ma-Ropes kutwaa ubunge wa Jimbo la Bumbuvili..Siyo hayo tu, tangu mwanzo, Mzee maropes alishasuka dili na mzee wa kaya kwamba mara tu mwanayee anapoutwaa ubunge, apewe uwaziri.

Hii ilikuwa ni dili iliyokuja kuharibika baada ya Usalama kupata taarifa kutoka kwa wamarekani kwamba mwanaye Ma-ropes alishiriki kwenye mambo ya kighaidi mtandaoni kwa kumtishia binti wa kifamilia moja tajiri sana huko marekani. Kwani hii ilimuwepa pabaya mzee wa kaya, alilijibu swala hilo mwenyewe Baada ya kupokea hizo taarifa. Mkuu wa kaya alibadilika ghafla na kutupilia mbali pendekezo la kumpa uwaziri kijana February, kwani hapo mwanzo huyu kijana pia alikoroga na kumpa kashfa kubwa kwenye mradi wa malaria nomore. Hasira zilimjaa mzee maropes baada ya mwanaye kutoswa, ambaye alilazimika kuingia kwenye siasa za makundi kisirisiri. Mzee maropes aliingia kwenye kundi la wakina RA na EL

Kwa sasa, Mzee maropes, kamsukuma mwanaye pia kwenye kundi la Rosutamu Azize, na Edwardo Lowassana. Kijana February, amejenga bifu na mkuu wa kaya, baba yake naye hivyo hivyo ingawa hawezi kuonyesha kwenye umma kwani ni lazima washirikiane katika maswala ya kikazi. Mzee wa mipasho Y--Ma-Ropes, amepania kuwaacha wanaye kwenye nafasi nyeti. Mpango mzima ni kuwanadi kwenye media kuwa wachapakazi, hasa Mwambao wa Vodacom na February wa Bumbuvili. Lengo ni kumuacha bintiye mkuu wa mkoa, au mbunge viti maalum na kijana waziri. Kwa hiyo ushirikiano wake na RA na EL ni wa kwa manufaa binafsi na familia yake. Hatuwezi kukubali, kwani huyu February, anajaribu kutuvuruga hata sisi UVCCM

Kwa sasa huyu mzee ana bifu za kichinichini na JK kwa maana JK hakumchagua mwanaye kuwa Waziri. Basi hapo, akajiingiza kwenye mtandao wa RA na EL ili mwanaye awepokwenye baraza lijalo. Kwa hiyo tusibirini ni yapi yatajitokeza Dodoma Kesho, nitawahabarisheni zaidi... mara mambo yakizidi kushuka. Hatutaweza kuliongoza Chama ikiwa mabadiliyo tunayaoyataka hayatazingatiwa. Tuko Tayari Kwenda CHADEMA
Sijakuelewa unataka ukaribisho au sympathy?
Malizaneni kwanza huko halafu UMMA unawasubiri ktk mchakato wa katiba mpya na kwa hili mtakuwa mmejivua Gamba lenu mtakuwa watamu sana sijui mtajivua nini tena mtachunika...

Back
Top Bottom