Miziki ya zamani Tanzania inaitwa zilipendwa,je kwa kwa Kenya ndo katitu?

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Najua kwa Tanzania miziki ya zamani inaitwa zilipendwa,je kwa kenya ni katitu?
Kama ndo katitu kwa kenya na TZ ni zilependwa je ni miziki gani zilivuma?
Bado sijajua kama miziki ya zamani kenya ni katitu,kama siyo katitu basi mods rekebisheni kutokana na michango ya wadai.
I mean
Zilipendwa Vs katitu(miziki ya zamani ya kenya)ipi ilisikia sana afrika mashariki?sina uhakika kama katitu ndo ndo zilipendwa za kenya ila wakenya msinipige mawe maze!
 
Kwa habari ya KATITU na ZILIPENDWA ninvyojua ni kuwa Wakenya na Watanzania tunaita nyimbo za zamani ZILIPENDWA. KATITU ni jina la Bendi inayopiga aina ya Rhumba ya Kijaluo.
 
Muziki wa enzi hizo kwa ujumla ni MUZIKI WA VIJANA WA ZAMANI.Tukitumia neneo hili itakuwa rahisi sasa kulinganisha MuzikiI wa KENYA Vs Muziki wa TANZANIA.

Ili kushindanisha,inabidi kuweka vigezo vya ushindani kwanza kwani muziki wa nchi hizi mbili ni tofauti.Unajua Tz hatukuwa na kiwanda cha kutengeneza santuri,na wakati huo Bedndi za kwetu zilienda Nairobi kurekodi muziki.
 
Kwa habari ya KATITU na ZILIPENDWA ninvyojua ni kuwa Wakenya na Watanzania tunaita nyimbo za zamani ZILIPENDWA. KATITU ni jina la Bendi inayopiga aina ya Rhumba ya Kijaluo.

Upo sahihi kabisa, kwa kuongezea tu tunaweza kusema ni aina ya muziki wa kiasili unaopigwa kisasa kama vile segere au Saida Karoli.
 
Back
Top Bottom