Mizengo Pinda Waziri mkuu!

Hiyo samary ya hotuba yake inanipa wasiwasi. Inaonekana hajiamini sana hivyo na wasiwasi kama atakimudu hicho cheo. Nifikiri tumeruka mkojo tumekanyaga m*****i!!!!!!!!! Anyway, hongera mkuu, hayo yalikuwa ni mawazo yangu tu. Actually mi ndiyo kwanza nimemsikia huyu jamaa leo asubuhi hapa JF!!!!
 
JK amteua pinda kuwa waziri mkuu na wabunge wanashangilia sana uteuzi huo.

-----------------------------------------------------------------

Nakumbuka sana msemo wa hayati Baba wa Taifa, kwamba Edward Lowassa SIO MSAFI!!!!!! Si haya tunayaona? Huyu EL anatakiwa achukuliwe hatua za kisheria.

Hongera sana Mh. Pinda kwa kuteuliwa....lakini tunakusihi usije na wewe ukahitimu kwenye chuo cha MAFISADI, na kutenda kama masifadi hao walojiuzulu.Ipende nchi yako Tanzania, na daima maslahi ya Tanzania yawe mwanzo na vitu vingine kufuatia.

Na kwa wale wanao-comment kuhusu Mh. Pinda kuwa atoka usalama wa Taifa....what's the point exactly?? What's that got to do with anything here??? kama ni lazima uandike kitu hapa JF, basi andika vitu vinavyochangia hoja. Thanks.
 
2609.jpg

Mhe. Pinda (Picha kwa hisani ya Mroki Mroki)
 
I am going to go on record for saying that I DO NOT SUPPORT the choice of Mizengo Pinda as the new Prime Minister, for the following reasons:

1) He is being cited as someone who is responsible and accountable? On what basis is he being given this credit? If we take a cursory look at his Ministry, TAMISEMI, how many cases of embezzlement, fraud and pilferage of public funds have there been in the Municipalities and District Councils all over Tanzania, with the perpetrators getting off with impunity?

2) More on TAMISEMI... a lot of public funds allocated towards the construction of schools, under the TASAF, MMEM programmes, which were diverted to non-existing municipality/district programmes, as a result, wananchi are being forced to fork out their meager funds out of pocket... the poor getting poorer...

3) There was a case where a very poor woman was forced to give birth at the office of a Ward Executive Officer, simply because she was under "custody" for having failed to pay her "contribution" towards the construction of secondary school classrooms... todate nothing has been heard about the woman, not even an apology or compensation has been given to her, for the traumatic experience she underwent... the Ward Executive Officer? Most certainly he/she is still in place...

So, what kind of responsibility or accountability are we talking about when we shower Pinda with those praises?

In my view, our President, Jakaya Kikwete, and his advisors, did not do their due dilligence on Mizengo Pinda... also, the very short time taken to choose a "valid" PM was not enough.

Hate me for my opinion, differ with me if you must, but we are headed for gloomier times...

No, I am not a fan of ANY CCM Members of Parliament, and I look at opposition MPs with a very careful magnifying glass...

But, at least, Laurence Masha could have been a valid candidate.

./Mwanahaki

It is your constitutional right to articulate whatsoever seems to be credible to you.
 
-----------------------------------------------------------------

Nakumbuka sana msemo wa hayati Baba wa Taifa, kwamba Edward Lowassa SIO MSAFI!!!!!! Si haya tunayaona? Huyu EL anatakiwa achukuliwe hatua za kisheria.

Hongera sana Mh. Pinda kwa kuteuliwa....lakini tunakusihi usije na wewe ukahitimu kwenye chuo cha MAFISADI, na kutenda kama masifadi hao walojiuzulu.Ipende nchi yako Tanzania, na daima maslahi ya Tanzania yawe mwanzo na vitu vingine kufuatia.

Na kwa wale wanao-comment kuhusu Mh. Pinda kuwa atoka usalama wa Taifa....what's the point exactly?? What's that got to do with anything here??? kama ni lazima uandike kitu hapa JF, basi andika vitu vinavyochangia hoja. Thanks.

wewe ni nani tena kuamulia watu cha kuongea hapa?
 
Jamani pamoja na haya yote, si kazi ya waziri mkuu kujenga bunge kwa sheria za Tanzania! bunge ni chombo kinachojitegemea nje ya serikali kuu na waziri mkuu ingawa ni mbunge lakini ni msimamizi wa serikali kuu bungeni - kazi ya kujenga bunge inaweza kujenga na wabunge wenyewe na spika "asiyekurupuka" kama .......

Ni kweli unayosema lakini kumbuka kuwa kanuni za uendeshaji wa serikali na bunge letu ni urithi wa mwingereza. Katika urithi huu, ukiondoa rais na makamu wake, waundaji wa serikali waliobaki (mawaziri) wanatoka bungeni. Na kwa mtaji huu, kiongozi wa chama cha siasa akishinda uchaguzi wa urais lakini akakosa idadi ya wabunge watakaoweza kuunda baraza la mawaziri basi itabidi aunde serikali ya mseto au ashindwe kuunda serikali yenyewe. Tatizo kama hili alionekani kwa sababu assumption iliyopo ni kuwa chama kitakachoshinda uchaguzi kitashinda viti vingi bungeni kuwezesha kuundwa kwa serikali. Lakini hii assumption ikienda kinyume, tutakuwa katika big pile of sh!t.
 
Sio hao hao waliotuibia BOT?

Yup,

the same guys ingawa huyu mzee ametoka huko na "kuingia kwenye siasa" kwa hiyo hana connection zaidi na ambacho kimekuwa kinaendelea kuanzia mwaka 1994 huko usalama wa matumbo ya wakubwa serikalini oooopppppssss usalama wa taifa!
 
wewe ni nani tena kuamulia watu cha kuongea hapa?

-----------------------------------------------------------------

Mimi ni Mtanzania mwenye haki zote za kuandika hapa, kama wewe.....and to correct you, "Sikuamulia watu cha kuongea hapa", nimesema watu wachangie hoja zenye msingi.

By asking me that question quoted above...aren't you also limiting my freedom of expression???? Tafadhali, tustaarabike kidogo.
 
Wana JF tuwe makini sana. Huyu Pinda hongera zake lakini ukweli ni kwamba wengi wetu humu hatujui utendaji wake zaidi ya hizi sifa za kupakana mgongo za akina Kingunge na fisadi wa AU Mongella. Kama kuna anayejua atupe ACHIEVEMENTS ZAKE KWENYE PUBLIC SERVICE tuone, kama hakuna tumpe mda ila tusiwe over excited!. Swali ni je, is he ready to deal with mafisadi katika serikali? maana naona ndo ngoma bado mbichi kabisaaaa... au ni yale yale "huyu ni mwenzetu?" Nachelea kuwithhold excitement yangu. Hawa viongozi wa nchi yetu mimi sina imani nao siku hizi, especially yanapokuja maswala yanayogusa uhai wa taifa. Au kuna anayejua huyu bwana alichowahi KUSEMA AU KUANDIKA KUKEMEA UFISADI!! Leteni datas, mda wa kudanganywa na peremende na miwani ya viongozi umeshapitwa na wakati!

Hata huu ufisadi tumeujua baada ya DR. SLAA, Zitto na JAMBO FORUM kushika bango! Hawa viongozi wa CCM si walipiga kelele mpaka wakatumia mamilioni ya kodi zetu eti kwenda mikoani kusafisha sumu ya upinzani? Guys lets be more analytical na tusiwape hongera hawa jamaa kwa kitu ambacho wanapaswa kufanya kama viongozi. Kama mnakumbuka watu walikuwa excited 2005 Lowassa alipotangazwa! kumbe it was just our own deathbed...

Lets wait and see how Pinda will adress pressing problems za watanzania.
 
Matokeo.

JUMLA ZILIZOPIGWA 282.

IMEHARIBIKA -1.

HAPANA -2
NDIO -279.

ANatangaza kuwa amepata 99.% hivyo ndio anajiandaa kutoa hotuba nawawekea summary hapa kwa kadri nitakavyoweza,
 
-----------------------------------------------------------------

Mimi ni Mtanzania mwenye haki zote za kuandika hapa, kama wewe.....and to correct you, "Sikuamulia watu cha kuongea hapa", nimesema watu wachangie hoja zenye msingi.

By asking me that question quoted above...aren't you also limiting my freedom of expression???? Tafadhali, tustaarabike kidogo.

hoja zenye msingi ni kwa mujibu wa tafsiri ya kwako au ya nani hasa hapa unayemuongelea?!
 
Wana JF nimeuliza maswali naona hadi sasa sijapewa Jibu...

1. Huyu Pinda ni mtandao au si mtandao? Kama mtandao basi TUMEKWISHA

2. Pia kusema kwake amefanya kazi na kulelewa na akina Chenge,Mkapa na Lowassa....hapa kunaleta picha ya mtu ambaye amejifunza from UFISADI Training Mentors?so JF tunataraji KIPYA?

NB naungana na Mwafrika wa Kike si wote tutakao unga mkono uteuzi Huu. ila Shaka yangu kubwa ni kuwa Pinda isije kuwa ni CHAGUO LA KUFUNIKA UFISADI.

Kama Wabunge walikuwa wanampinga Lowassa as PM, basi Lowassa ameshaondoka ktk U-PM, lkn kama wabunge walikuwa wanapinga Lowassa kama FISADI, basi UFISADI BADO UPO MAPAMBANO dhidi ya UFISADI yaendelee...Kinyume cha Hivyo nitalewa Move za kumng'oa Lowassa zilikuwa hazina mpango wowote ila manufaa binafsi ya baadhi ya wabunge.
 
Matokeo.

JUMLA ZILIZOPIGWA 282.

IMEHARIBIKA -1.

HAPANA -2
NDIO -279.

ANatangaza kuwa amepata 99.% hivyo ndio anajiandaa kutoa hotuba nawawekea summary hapa kwa kadri nitakavyoweza,

Mpaka kieleweke tunakushukuru sana kwa updates...Lunyungu yupo wapi leo ama ndiyo a.k.a yako?
 
Yup,

the same guys ingawa huyu mzee ametoka huko na "kuingia kwenye siasa" kwa hiyo hana connection zaidi na ambacho kimekuwa kinaendelea kuanzia mwaka 1994 huko usalama wa matumbo ya wakubwa serikalini oooopppppssss usalama wa taifa!

Chondechonde mama na usalama wa Taifa!!!
 
Chondechonde mama na usalama wa Taifa!!!

Sina tatizo na watu wote wa usalama wa taifa maana huko kuna watu wengi tu makini. Nina ugomvi tu na ile top brass ambayo inahusika na wizi na ufisadi mkubwa unaondelea nchini na kuzuia kila aina ya uchunguzi kuwa ni masuala ya usalama wa taifa.

zaidi ya hapo hakuna tatizo, nasubiri tu nione mzee wetu Pinda atachukua njia gani, ya kifisadi au ya kulinda wananchi? so far ni vizuri tu kujua kazi yake ambayo hatakiwi kustaafu mpaka siku akiitwa na muumba wake.
 
Wana JF nimeuliza maswali naona hadi sasa sijapewa Jibu...

1. Huyu Pinda ni mtandao au si mtandao? Kama mtandao basi TUMEKWISHA

2. Pia kusema kwake amefanya kazi na kulelewa na akina Chenge,Mkapa na Lowassa....hapa kunaleta picha ya mtu ambaye amejifunza from UFISADI Training Mentors?so JF tunataraji KIPYA?

NB naungana na Mwafrika wa Kike si wote tutakao unga mkono uteuzi Huu. ila Shaka yangu kubwa ni kuwa Pinda isije kuwa ni CHAGUO LA KUFUNIKA UFISADI.

Kama Wabunge walikuwa wanampinga Lowassa as PM, basi Lowassa ameshaondoka ktk U-PM, lkn kama wabunge walikuwa wanapinga Lowassa kama FISADI, basi UFISADI BADO UPO MAPAMBANO dhidi ya UFISADI yaendelee...Kinyume cha Hivyo nitalewa Move za kumng'oa Lowassa zilikuwa hazina mpango wowote ila manufaa binafsi ya baadhi ya wabunge.

The same 'Chuma", or a different one?

Yes ndugu, that is the crux of the matter. Wasipofanya hivyo hawastahili kupongezwa kwa lolote. Tusubiri.
 
Wasiwasi wangu huyu Mh Pinda asije akatupinda tukaona bora ya Mussa kuliko .....

Coz kutokana na maelezo yake alikuwa karibu sana na Mh wa kupaa a.k.a Kiongozi Mahiri
 
Back
Top Bottom