Mizengo Pinda atangazwa kuwa Waziri Mkuu tena

sheikh yahaya atakuwa amewashauri tofauti ..hahaaaaaa wanarudi kuchakachua jina tena
 
Pasco huna mana wewe, kwa nini usisubiri mpaka waseme jina ? unawahi nini sasa na thread yako? wakati kama ni kujadili tumejadili muda mrefu.
Baada ya kukaa Dodoma kwa siku tatu doing nothing, nilijua hiki ndio kikao cha jina la kutangaza jina la Waziri Mkuu!.
nI MAMBO TUU YA PRESUURE INAPANDA, PRESHA INASHUKA.

bunge limeahirishwa!
 
JK waganga wake walimwambia huo wa jion ndio muda muafaka sasa tuvumilie kwani ndio rais na mambo yake ndio hayo.
 
Mode, naomba badili headiline, ondoa breaking news, andika Bunge laanza na kuahirishwa baada ya dakika 20!
 
Huu ni uchuro!!!

Peleka utani wako mbali kabisa na hapa. Kati ya ujumbe wako wa kwanza zile nyinginezo zilizofuatia kuna tofauti ya dakika moja moja tu!!! Ndio kutuambia nini huko???

Tafadhali jitulize vizuri na mitambo yako hapo Dodoma walau ukatuhabarishe hali halisi ilivyo ndani na nje ya jengo la bunge, kwa ujumla watu wanazungumzaje, je jina limeliki tayari, chama chetu cha CHADEMA haswa wako wapi kwa sasa, wanamaoni gani hadi dakika hii na kwa nini???

Fanya kazi tafadhali!!!
 
Mode naomba ondoa Neno Breaking News kwenye headline, andika Waziri Mkuu mpya jioni.
Frustrated once again!
 
Wanabodi,
Tumekutana tena kuendeleza ile kazi ya Bunge Jipya,
Kika cha asubuhi hii kimeshaanza, kitamtangaza Waziri Mkuu mpya muda wowote kuanzia sasa.

Endelea nami...


Duh! Pasco umetuuza!!
 
Wanabodi, tusameheane, tuvumiliene, tustahiliane, huu ndio mwanzo wa bunge letu, huu ndia utambulisho wa utendaji wa spika wetu mpya, na hii ndiyo serikali yetu na Tanzania ndio nchi yetu.

Niliandika post fulani kule nyuma, " a wrong start, a wrong step!".
 
Saa 3.23 asubuhii Mh Speaker kaarisha bunge mpaka saa 11. Moja ya shughuli kubwa
iliyotarajiwa mjengoni asubuhi hii ni kusomwa kwa jina la waziri mkuu ili apigiwe kura.

Bila Mh Speaker alisema jina bado halijaletwa toka Ikulu hivyo akaamua kuahirisha bunge
mpaka saa 11 jioni. Vipi waja JF mnasemaje hapo!!!!! kuna uchakachuaji pia?
 
Ohoo... Barua ya jina la Waziri Mkuu ni saa 10 jioni. Ile barua kutoka Ikulu, bado haijafika!.

Another completely waste of time!,

Sasa wanachagua wawakilishi wa Bunge la Tanzania kwenye Bunge la SADC.

Walitangaza tangu jana kwamba bahasha yenye jina la WM "mpya" Pinda ni saa 11 jioni leo.
 
lazima wanachakachua jina baada ya kupokea ushauri toka kwa mlinzi wa rais sheihk Yahaya
 
Wanabodi,
Tumekutana tena kuendeleza ile kazi ya Bunge Jipya,
Kika cha asubuhi hii kimeshaanza, kitamtangaza Waziri Mkuu mpya muda wowote kuanzia sasa.

Endelea nami...


Heading yako ina utata, hakuna neno "braeking" kwenye lugha ya kiingereza na kama ulimaanisha "breaking", hii sio breaking news mpk saa 11 ndo itakuwa "breaking news"
 
jina bado linapitishwa katika mizani ya "mafundi wa bwana mkubwa" kwanza halafu likifanikiwa kupita salama, bahasha yenye jina hilo inapelekwa bungeni. sasa sijui mnashangaa nini.
 
Back
Top Bottom