Mizengo Pinda aomba kujiuzuru

Wana-JF Raia Mwema ninalo Mwandishi anajiita MsomajiRaia@yahoo.com na ndiye aliyeandika kila awamu ina rekodi ya kuua.toleo no. 232 la 28/3/2012 na Mhariri Mkuu kukanusha kwa maandishi madogo ukurasa wa mbele toleo no.235 mauaji yake mtoa thread kaacha maneno makusudi yasemayo Natamani hizi ziwe ni tetesi za kweli km zilivtto zingine
Kwa ufupi simsemei Pinda ila nuu uchochezi naq huenda Gazeti nalo llikakanusha tena
 
... endapo Prof Lipumba atakubali kujiunga na hili li baraza la mawaziri uozo la CCM hakika nitamdharau milele na kutilia wasiwasi utashi wake na kazi ya usomi wake pia!!!!!!!!

Acheni CCM kimalizie uchafu wake wote kama walivyouanza mara baada ya Mwalimu Nyerere kufa ili hukumu ya walalahoi kwa chama hiki hivi karibuni isije ikasambaa hata kwa vyama ambavyo havihusiki na uhandisi wa UFISADI wote wanaolifanyia taifa hili.


Hivi kumbe watu bado kabisa hamjui katiba. Kwani mmesahau kuwa waziri lazima atoke miongoni mwa wabunge? Sasa Lipumba ni mbunge wa wapi? Hili haliwezekani msitupotezee muda.
 
... endapo Prof Lipumba atakubali kujiunga na hili li baraza la mawaziri uozo la CCM hakika nitamdharau milele na kutilia wasiwasi utashi wake na kazi ya usomi wake pia!!!!!!!!

Acheni CCM kimalizie uchafu wake wote kama walivyouanza mara baada ya Mwalimu Nyerere kufa ili hukumu ya walalahoi kwa chama hiki hivi karibuni isije ikasambaa hata kwa vyama ambavyo havihusiki na uhandisi wa UFISADI wote wanaolifanyia taifa hili.

Tudumishe umoja wa kitaifa kama tulivyo ukubali kule zanzibar, kwani profesa ni mwenyekiti ya chama kinachoiunga mkono ccm hivyo hakuna mbaya akiwepo labda anaweza leta changamoto kubwa katika utendaji serikalini
All the best prof
 
Mbona haku sign Petition ya Zitto imrahisishie kazi,iyo mbinu inatumika kuhalalisha kumwagwa kwake,Baada ya lowassa kujiuzulu jk akasema wazee wamemuomba kupumzika kwenye cabinet mpya ya 2007 ikaja kundulika kuwa aliwalisha maneno vizee vya watu ili avitose vizuri!
 
Unaendelea kuonyesha kutokujua kwako sheria za nchi!

Nilipokuita kilaza nilikuwa nina maana hujui unachokisema na sasa umethibitisha.

HAKUNA KIFUNGU KATIKA KATIBA KINACHOMBANA RAIS KUTEUA MBUNGE WA CHAMA CHOCHOTE KUWA WAZIRI! ISIPOKUWA KWA PM NDIO UTARATIBU UMEELEZEWA NI ATOKE CHAMA CHENYE WAJUMBE WENGI. FULL STOP

Case ya znz ni completely different, wamebadilisha muundo wa serikali kutoka waziri kiongozi, kwenye two VP na

mengineyo ilikuwa ni lazima KATIBA ichakachuliwe.

Nimekwambia kaakimya kama hujui
Yani we ndo ume expose jinsi Brain yako ilivyo Pumba, anyway, we haujajiunga na ile movement yenu mnayoiita Uamsho, ....
 
Mliosoma gazeti la RAIA MWEMA la leo kuna article ya ndefu pg. 08 yenye headline isemayo BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI.

Ukihesabu utaona kuwa article ina paragraph 31. Siwezi kukopi paraghraph zote bali nakopi ya 20 na 21 kama ifuatavyo:

20:
..Kuna uvumi umeenezwa kuwa Waziri Mkuu ameomba kupumzika asiwemo katika Baraza jipya (linalosukwa upya). Inadaiwa kuwa Mzee Pinda amesisitiza kuwa asifikiriwe kuendelea kuwa Waziri Mkuu kwa sababu anadai amechoka na kuwa yupo tayari kusaidia kwa njia nyingine..

21:
..Inasemekana wametumwa watu kadhaa kumwomba Mzee abadili uamuzi wake huo na kwamba atapewa timu bora zaidi ambayo haitampa kazi kuiongoza....

Nasisitiza, thread haina matatizo yoyote kwani nimekopi wanachokisoma mtaani kupita gazeti hili, RAIA MWEMA wana mtindo ikipita siku moja wanaweka kwenye website yao na tukijifanya tunaiogopa kwa kui-move au kuifuta basi hatutawazuia forum zingine wawe wa kwanza kuishadidia mjadala bila uoga.

SOURCE: RAIA MWEMA
DATE: MAY 02, 2012
PAGE: 08

Pinda asituzuge kujifanya hataki tena uongozi. Nanyi najua mnasafisha njia ili aonekane hataki tena bali ukweli ni kuwa anapigwa chini atake asitake
 
Hapa Dr. Kaona mbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaali sana, anaona hadi 2050
 
Kama si katiba ya Jamhuri au Ilani ya CCM, Baraza la mawaziri lingeundwa na watu ambao si wabunge au wabunge wachache waadilifu ili kukwepa mvutano wa kushindwa kutekeleza majukumu yao...Wabunge wanaiwajibisha serikali, wakati mawaziri ni wabunge kwa kofia zao mbili wanawapinga wabunge wenzao wanaowawajibishawa kwa kuwa nao ni watendaji serikalini.
 
KWENYE KATIBA MPYA KUNAHITAJI WAZIRI MKUU MWENYE MADARAKA KAMILI NA MAMLAKA YA KUFANYA MAAMUZI JUU YA BARAZA LA MAWAZIRI BILA KUDHALILIKA TENA KUTOKANA NA TABIA YA RAIS KUOGOPA KUCHUKIZA MAWAZIRI WAKE KWA KUCHUKUA MAAMUZI BINAFSI

Kwa jinsi huyu Waziri Mkuu anavyoendelea kudhalilishwa kila kukicha na kusababishiwa kuonekana kituko mbele ya jamii ya Tanzania kwa sababu tu KATIBA ya sasa haimpi madaraka ya wazi ya kutolea MAAMUZI baraza la mawaziri analotakiwa kuliongoza, ni vema WaTanzania tukalitafutie dawa swala hili ili mbele ya safari tusije tukamlaumu Waziri Mkuu mwingine yeyote yule kwa madaraka ambayo tulimnyima sisi wenyewe na kuzirundika kwa rais.

Mhe Lowassa alikimbilia kusema eti KADHALILISHWA SANA lakini hali inayomkabili Mhe Pinda na Mhe Spika kwa kufanywa kuonekana vibweka mbele ya umma wa Tanzania hakika haina kifani.

naona dawa ni kuja KUINGIZA KATIKA KATIBA MPYA ILI MAWAZIRI WAKUU WA SIKU ZA USONI WAJE WAWE NA Madaraka kamili ya ofisi zao bila kukwamishwa na Rais anayeogopa kufanya maamuzi magumu bila kuzunguka zunguka, kuuza muda na kutafuta kujificha nyuma ya vyombo vingine kama vile KAMATI KUU CCM.
na katiba hii hii mbovu mbovu Sokoinne alimwekea msimamo Julius, ni Pinda tu kuonyesha uanaume kidogo tu, na heshima yake itapona. yeye amwambie kwanza nataka madaraka ya kuwaadabisha mawaziri pili wapange naye hilo baraza la mawaziri ili kupunguza uwezekano wa kuweka marafiki, wakwe, mashemeji nk
 
Magufuli Pombe John,Mzee wa takwimu, Mwanry Aggrey na makelele yake ya kujihami, na yule nanihii, huyu jamaa yetu huyu..kanitoka jina. hawa nilikuwa napima uwezo wao wa ku-crash wasiojiweza bungeni.
 
Pinda ni mzalendo na siyo mkurupukaji. Anajua kwamba taifa hili linamhitaji sana. Kama mlidhani atakuwa na hasira za mkizi basi hamumfahamu vizuri Pinda.

mhh pinda mzalendo hivi ukimuona mwizi anaiba na ukaulizwa ukasema hapana hajiiba au ukakataa hukuona na hali uliona je wewe utakuwa mkweli?
pinda si mzalendo angekuwa mzalendo angetoka zamani sana
 
Duh pole yake,anaonekana ana sura yenye msisitizo ila anamoyo kike.AENDE 2.
 
Back
Top Bottom