Mizengo Pinda Ahadi ni Deni - Taifa Stars Wanadai Hela Zao

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Wachezaji wa timu ya taifa stars, wamemtaka waziri mkuu Mizengo Pinda kutimiza ahadi yake ya kuwapatia Sh 10milioni aliyoahidi endapo wangeitoa Chad na kupata tiketi ya makundi ya kombe la dunia. Pinda alitoa ahadi hiyo kama hamasa siku moja kabla ya timu hiyo kuondoka kwenda Chad.

Taifa stars walidai kua waliondoka kwa hamasa sana kwenda Chad, walishafahamu kuwa mkuu wao kawaahidi donge hilo na wao hawakutaka kumuangusha kwahiyo ahadi hiyo ni haki yao kwakua wanaamini ahadi ni deni. Kazi kwako Mizengo Pinda.
 
Huyu mtoto wa mkulima kawa msanii sana siku hizi... Kweli bongo noma hata uwe vipi lazima wakufundishe usanii. Jamaa aliwahi kukataa hata suti wakati anaanza lakini sasa ameharibika hadi kuwa tapeli. Wana wa Dar tafadhari msimfundishe yale mambo ya akina David Mattaka, au kubwia maunga mtoto wa mkulima huyo.
 
Ameshaingizwa kwenye 18 na serikali ya magamba lazima huo ugonjwa aambukizwe!
 
matatizo ya pesa ndogo ndogo atatoa tu, tatizo mambo wasiyoyaweza ni yale ya kutumia akili.
 
Kama imeshadhibika kua alisign sh 28000 kama posho hizo 10milioni atatoa kweli?
 
Pinda....? 10mil my hair!!!!!! Wakimbana sana analia tu..........
 
jamani alishasema account yake ina mil 20 tu sa akitoa hizo 10 hamuoni mtamuonea na hizo 10 alizobakiwa nazo na maisha yamepanda siku hizi...............kwi kwiii kwiiii kwiiiiiiiii
 
Walioko Arusha watusaidie kumuuliza hili swali maana leo yupo hapo Kibo Palace
 
Back
Top Bottom