Mizani!!!!!! Mizani!!!! Mizani.......Mabuchani................Tahadhari!!! !!......

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,141
13,215
Jamani kama ilishatoka hapa mnisamehe lakini kwa kuwa ni ushuhuda ambao ni first hand information, wacha niwamegee!!!!

Kutokana na changamoto ya kupanda kwa gharama za maisha au ni ujanja ujanja tu......watu wamebuni njia nyingi sana za kujiongezea kipato cha dhuluma....



.............kumbe ni wizi wa muda mrefu sasa unaendelea kushika kasi maeneo mengi hasa ya walalahoi........

UkiendA BUCHANI KUWA MAKINI sana na wapimaji....kuna mbinu kuu tatu
  1. Wataweka sumaku chini ya mzani ambayo nasikia inapunguza kati ya 1/4-1/2 kilo (250-500gm)
  2. au kuna misumari mitatu nayo hivyo hivyo (ibid)
  3. hii aliyenisimula hajagundua inafanyikaje lakini angalia sana mikono yake ukiona anaipeleka spidi sana jua kuna kamchezo hapo....(mwenye kuujua aongeze au kutujuza mbinu nyingine............).............au chuma chochote kizito upande mmoja wa mizani...
Mimi nmeipata majuzi tu, jamaa yangu alipoletewa nyama alimfuata jirani yake mwenye mzani na kugundua imefemea kilo 1 unusu!! alirudi na kijana buchani na kumwambia aipime tena....mbuchaman akataka kuikataa kwamba imeshafika nyumbani, kwa kuwa ana mtandao wa polisi aliung'ang'ania mzani hadi walipokuja na kugundua una sumaku kwa chini, moja kwa moja hadi kwa wakala wa vipimo........Hivi ninavyoandika hiyo bucha imefungwa na mwenye bucha ametozwa faini............

nasikia ni wengi wanafanya hivi kwa hiyo kwa wale wasio na hii nyuzi jitahidini nanyi kufanya kauchunguzi au kuepuka bucha za kimagumashi............

Hakuna penye usalama!!!! yamkini hata kwenye mchele, sukari, n.k yanafanyika haya jameni....................!!!!!Besides hawa mawakala wa vipimo inabidi waamke !!!! ...Rushwa????
 
hatutakaa tuendelee kwa sababu ya wizi
ngekuwa mm hapo nampa na kichapo cha mbwa mwizi
 
Ukifika buchani hakikisha umeridhika na mizani, mwambie aipindue kama unaitilia mashaka.............au kiungwana tu kwamba umesikia huu USANII
 
Kuna wengine pale soko la magomeni, mzani fresh! sasa wakati anakufungia nyama kwenye mfuko anatupa pande la nyama chini kwa huku upande wake ndani, nilimgundua mmoja yuko kama shombeshombe kumbe mwizi wa nyama.
 
Tatizo Kuna Agency (Tasisi ya Vipimo) Weighs and Measures!! Maskini Hata Hawajuai Kwa nini Hiyo Tasisisi ilianzishwa!! Ni Bora Ikafutwa Tukaanza Upya!!
 
hatutakaa tuendelee kwa sababu ya wizi
ngekuwa mm hapo nampa na kichapo cha mbwa mwizi
Wizi na uswahili umeliangamiza taifa hili misemo kama mtoto wa mjini, mjini shule, tutabanana humu humu, tule wapi nk ndo matokeo yake haya, ni misemo inayohalalisha ujinga na ushetani
 
Yaani nchii hii watu hatuna maadili kabisa. Kwa hali hii hata tupate katiba kutoka mbinguni, mambo yatabaki vilevile. Yaani watu wanaiba bila aibu, ile guilty conscious hamna kabisa.
 
ulizia walioiba BOT wakarudisha alafu zile hela zimepotea bank ya TIB
NANI WA KUMLAUMU ...UJE KWA HAO CHEZA NA MAPAPA KWANZA AMA SECURITY NDOGO
WE UNAFIKIRI WAO WATAKULA WAPI KAMA SI KWENYE MIZANI..???
 
Kuna bucha moja la mgogo ukiingia tu anawasha feni full speed......lile bakuli la mzani lenyewe linashuka chini.....got it?
 
Ndio maana huwa nagombana na mama watoto kua habani matumizi ya mboga kumbe ninaibiwa!!!?? sasa weekend hii nakwenda kufunga bucha la huyu Mrombo anayeniuziaga nyama.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom