Power G JF-Expert Member Apr 20, 2011 3,886 1,193 Oct 7, 2011 #1 Wana JF hebu ziangalieni picha zifuatazo muone mwenyezi Mungu alivyo na miujiza yake; Attachments Nature1.jpg 28.4 KB · Views: 278 Nature2.jpg 43.4 KB · Views: 275 Nature5.jpg 29.8 KB · Views: 239 Nature9.jpg 39.8 KB · Views: 237 Nature10.jpg 40.7 KB · Views: 238
Pota JF-Expert Member Apr 8, 2011 2,031 760 Oct 7, 2011 #2 duuu....! siamini lakini nashindwa kukataa!
Lokissa JF-Expert Member Nov 20, 2010 7,446 2,490 Oct 7, 2011 #3 kazi kweli kweli, yale yale ya a miracle tree in india hebu google una mambo yake wanyama wote wapo hapo.
kazi kweli kweli, yale yale ya a miracle tree in india hebu google una mambo yake wanyama wote wapo hapo.
N NIMIMI Senior Member Apr 2, 2011 170 16 Oct 7, 2011 #4 Jamani hivi vitu hata ukienda milima Livingstone kule matema kupitia njia za mkato kuna maajabu zaidi ya ziliwekwa jamvini na mdau.
Jamani hivi vitu hata ukienda milima Livingstone kule matema kupitia njia za mkato kuna maajabu zaidi ya ziliwekwa jamvini na mdau.