Mitumba standard, wapi nitaipata?

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
699
237
Salaam!!!
Kwa anayejua mahali hapa Dar panapouzwa marobota ya mitumba standard naomba anijuze. Ninataka kumfungulia biashara mdogo wangu. Robota moja linauzwa kwa bei gani? Asanteni
 
nenda pale kamata karibu na monalisa,bei ni tofautitofauti kutegemeana na mzigo na quality na design,usiniulize maswali zaidi
 
Back
Top Bottom