Mitsubishi Pajero iO

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
kwa wataalam wa magari,hii gari inafaa kwa mazingira yetu hapa tanzania?
je spear zake zinapatikana?
je ni gari imara?
 
inategemea na matumizi yako yakoje na unaijali kiasi gani. GDI engine si roho ya paka kama za toyota, but ukiitunza ni gari poa japo spea zake ziko juu kiasi bse nyingi ni genuine.
 
inategemea na matumizi yako yakoje na unaijali kiasi gani. GDI engine si roho ya paka kama za toyota, but ukiitunza ni gari poa japo spea zake ziko juu kiasi bse nyingi ni genuine.
wapi ntapata hili wadau kwa price not higher than 7.5m
 
hiyo gari inafaa kwa mazingira yetu ni ngumu na spare zake zipo japo bei ziko juu ila unatakiwa kupata fundi anayezijua hizo gari
 
Back
Top Bottom