Mitsubishi lancer cedia wagon (GDI)

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Habarini wakuu
Natumaini mmesherehekea vizuri sikukuu ya x-mas na tunausubiri mwaka 2012 kwa hamu panapo majaaliwa.
Ninaomba kujuzwa kwa mambo kadhaa kuhusu aina hii ya gari mitsubishi lancer cedia wagon
1. Upatikanaji na unafuu wa spare parts
2. Matatizo common ya engine
3. Fuel consumption
Na lolote lile kwa ambalo watumiaji walisha kutana nalo
Natanguliza shukrani.....
Kimbweka
 
Back
Top Bottom