Mitsubishi canter ya 1998 inauzwa

DUNIAPANA

Member
Nov 22, 2011
29
14
nauza mitsubishi, canter ya mwaka 1998; registration na. T 616 BTD; rangi ya blue, body ya aluminium kwa chini, juu imewekwa bomba na ina turubai. Ilinunuliwa U.K june 2011; ina km 90,000 mpaka sasa ipo kigamboni ; bei Tsh 36 m. Maongezi yapo. Inauzwa na mmiliki si dalali. Mawasiliano 0755 6333 00
 
Back
Top Bottom