mitindo ya kusuka na kunyoa nywele!

Kuna majongoo na sausages kama unapenda kusuka style ya nywele fupi

mh, dada mkubwa. hayo majongoo na sausage nasikia yanaumaje thatha. kha thithubutu mie. . . kichwa changu zen kinipe shida lolest!!!!!!
 
Ha haaaa, bora umemu-warn kabisa, asije akaja kutulilia hapa, maana hueleweki kaka wewe, lol!

mh, mbna mnamjadili wangu mahabuba? me nafanya na dili na Erickb52 afu ninyi mnaongea kwa nguvu. . . mnataka awasikie nini???
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom