mitindo ya kusuka na kunyoa nywele!

Hivi lace wig sio msuko?
Mie style yangu kama mama anna abdallah na madame supika akiwa nchini. Ile style ya kupandia ndege uvivu afu gharama.
 
Unajua BN hujamtendea haki mtoa mada!
Hapa kisa mkasa ama issue ni mitindo ya nywele ujue !
Huo ni mtindo gani "nawachek mjue"? Unasukwasukwajwe ?
Mtakerazi mtoa mada due machakachuzi !

beibe nasty, umemsikia mumeo? haya fanya hivyo kwa kunikumbuka mie. . .
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom