mitindo ya kusuka na kunyoa nywele!

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
mambo dhenu wadau wa chit chat? hope mko po, mko poua. . .
hebu tupieni majina ya mitindo ya kusuka na kunyoa nywele. . . kwa kuanza kuna
mitindo ya kusuka
- twende kilio
- jicho la mke mwenza
- kilimanjaro
- sangita
- yeboyebo
- vitunguu
- tatu kichwa n.k

mitindo ya kunyoa
- panki
- upara wa t.a.k.o
duh mingine hata siifahamu majina. malizieni. . . .
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom