Mitindo mbalimbali ya vitenge

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,833
155,781
Kupendeza ni vile mtu unavyojipanga katika mavazi, na moja ya mavazi muhimu kwa ukanda huu wa Afrika ni vazi la kitenge ambapo naweza sema wanaafrika wamesahau kabisa vazi hili japo kidogo kwa sasa wadau wameanza kutokelezea na mavazi mengi, huku wakaka na wadada wakipendeza sana na maumbo mazuri ya kiafrika waliyojaaliwa.

Vazi la kitenge huweza kuvaliwa sehemu yoyote ile inategemea na jinsi lilivyoshonwa. Vazi hili huweza kuvaliwa na jinsia zote mbili yaani wanawake na waname na kuwaweka nadhifu na wenye kuvutia, pia ni vazi la heshima na fahari kwa mwafrika.

DSC_0011resized.jpg

27.jpg

sika5.jpg

wpid-fadfce1ac2428e0d0a7722786d13f3d91.jpg

aa138356a86f5abbc9f072f6a1548a10.jpg

wpid-6305f738802d6e883815ffdda88a10682.jpg

wpid-4acf0cc54b06cdd74676a942444281b92.jpg

bonkers-fashion-car-makers.sl.3.stick-shift-2-10-2014-fashion-week-ss02.jpg
il_570xN.573497258_qjrd.jpg

images

blogger-image-602343390.jpg

Michango ya wadau:

Tumekarishwa hayo yote na tamaduni zetu wote.

But the fact is any cloth material can be well designed and used anywhere. Again kama tangu mwanzo wa zama za babu zetu watu wange preffer kuvaa khanga or kitenge katika mahofice, iguess tungesema kwamba those cloth girls used to wear kwa mahofice yao sio sahihi.

Finally here's my point. Office ni place or mahali, i mean it might be a building or an open area or whatever ambapo mtu anaendeshea shughuli yake ya kila siku, kama shoeshine, mtu anaeshona nguo, office ya radio & tv, office ya carpenter and whatever, wanavaa vile wanapendeza machoni pa watu. A female teacher may wear a khanga designed cloth na amefunga kilemba yake kichwani anaendea office,

So mie nadhani hawako interested kuvaa hivyo basi wanafanya matakwa yao.

Hi.
----

Mtu akikwambia hawezi kuvaa nguo ya kitenge ofisini maana yake either hapendi vitenge, au hana tailor mzuri. Mimi navaa from time to time. Inategemea pia upo wapi, maana sehem zingine vitenge ni nguo adimu sana kiasi kwamba ukivaa wanadhani unaenda in a cultural event tuu.

469982_480146398666769_1927634091_o.jpg

406463_10150637459009642_329115514641_8976740_1455269796_n.jpg

1260-Copier.jpg
images
----
Tumekarishwa hayo yote na tamaduni zetu wote.

But the fact is any cloth material can be well designed and used anywhere. Again kama tangu mwanzo wa zama za babu zetu watu wange preffer kuvaa khanga or kitenge katika mahofice, iguess tungesema kwamba those cloth girls used to wear kwa mahofice yao sio sahihi.

Finally here's my point. Office ni place or mahali, i mean it might be a building or an open area or whatever ambapo mtu anaendeshea shughuli yake ya kila siku, kama shoeshine, mtu anaeshona nguo, office ya radio & tv, office ya carpenter and whatever, wanavaa vile wanapendeza machoni pa watu. A female teacher may wear a khanga designed cloth na amefunga kilemba yake kichwani anaendea office,

So mie nadhani hawako interested kuvaa hivyo basi wanafanya matakwa yao.

Hi.
----
Nionavyo mimi inategema hicho kitenge umekishonaje kiofisi, kikanisa, kimsikiti, au kipati na je unayekivaa ukoje kwanza mwonekano wako usije vaa kama uko home wasonga ugali eti waenda nacho ofisini si ushamba jaamani huo

unaweza kushona kiiofisi na ukakivaa, wengine watapenda kwani huo ndo utamaduni wetu na ni vyema kupenda utamaduni wa kwenu haya mambo ya kuvaa bikini kazini ni ushamba tu
----
Tumekarishwa hayo yote na tamaduni zetu wote.

But the fact is any cloth material can be well designed and used anywhere. Again kama tangu mwanzo wa zama za babu zetu watu wange preffer kuvaa khanga or kitenge katika mahofice, iguess tungesema kwamba those cloth girls used to wear kwa mahofice yao sio sahihi.

Finally here's my point. Office ni place or mahali, i mean it might be a building or an open area or whatever ambapo mtu anaendeshea shughuli yake ya kila siku, kama shoeshine, mtu anaeshona nguo, office ya radio & tv, office ya carpenter and whatever, wanavaa vile wanapendeza machoni pa watu. A female teacher may wear a khanga designed cloth na amefunga kilemba yake kichwani anaendea office,

So mie nadhani hawako interested kuvaa hivyo basi wanafanya matakwa yao.

Hi.
----
Mmenikumbusha juzi kati nilikutana na mdada kwenye mgahawa fulani wa hospitali, baadae nikamkuta wodini kavaa joo la doctor...nikashangaa kwani sikuona kama ana personality ya kuwa doctor, baadae nkajiuliza kwa nini sikuweza kudhania kuwa huyu dada ni doctor?

Jibu nilopata ni kuwa alikuwa amevaa kitenge, tena cha heshima kweli kweli na yeye bado ni kabinti. Sasa ilimfanya aonekane poa sana to be a doctor; (kama mshamba fulani hivi). Lol, kweli vitenge si vazi la ofisi unless ushone kiofisi ofisi.
 
Mnh! Nguo ya kitenge ofisini? Mie ni mpinzani mkuu! Kitenge ni kanisani na kwenye shughuli nyingine zisizohusiana na ofisi. Btw, nguo ya bendera kama hiyo unaivaae ofisini? Ha ha ha haaaaaa!
 
Mmenikumbusha juzi kati nilikutana na mdada kwenye mgahawa fulani wa hospitali, baadae nikamkuta wodini kavaa joo la doctor...nikashangaa kwani sikuona kama ana personality ya kuwa doctor, baadae nkajiuliza kwa nini sikuweza kudhania kuwa huyu dada ni doctor?

Jibu nilopata ni kuwa alikuwa amevaa kitenge, tena cha heshima kweli kweli na yeye bado ni kabinti. Sasa ilimfanya aonekane poa sana to be a doctor; (kama mshamba fulani hivi). Lol, kweli vitenge si vazi la ofisi unless ushone kiofisi ofisi.
 
Vazi la kitenge kwa kazini halilipi. Mara nyingi linampendeza mtu akilivaa kanisani au kwenye shughuli maalum. Hata darasani kwa wanachuo kwa kweli halilipi.
 
Nakubaliana na Smile, kitenge inategemea kimeshonwaje. Nasema hivo kwasababu mie pia nina vaa kitenge lakini kwa jinsi ninavyokishona hadi unafurahi kukitazama.
 
Hapo sasa hata kwa fimbo huniveshi vitenge kazini lol
mnh! Nguo ya kitenge ofisini? Mie ni mpinzani mkuu! Kitenge ni kanisani na kwenye shughuli nyingine zisizohusiana na ofisi. Btw, nguo ya bendera kama hiyo unaivaae ofisini? Ha ha ha haaaaaa!
 
Ila mie "nkikutana" na kabinti kamevaa kitenge nakaona kashambaaaaaaa...yaani hata namba ya simu sikaombi.....
 
Vitenge vina ONGEZA UMRIII!!!!!!!! Msichana mdogoo unaonekana Mmama mtu mzimaaa!!!! Mambo gani hayo! Bibi wa miaka 40 nikijitupia Pencil skirt nikachomekea na kiblouse changu mayenu na mkanda wake juu, chini High hills na Pochi langu la tandika, nikaweka sunglasses UTANIJUAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!! Akhaaaaaaaa! Kama kigori cha 25 years!!!!!!!

Mpango wa sasa ni KUUKIMBIA UMRI kadri uwezavyo!!!!!!!! Sio kukubali shikamoo kirahis rahisi!
 
Tumekarishwa hayo yote na tamaduni zetu wote.

But the fact is any cloth material can be well designed and used anywhere. Again kama tangu mwanzo wa zama za babu zetu watu wange preffer kuvaa khanga or kitenge katika mahofice, iguess tungesema kwamba those cloth girls used to wear kwa mahofice yao sio sahihi.

Finally here's my point. Office ni place or mahali, i mean it might be a building or an open area or whatever ambapo mtu anaendeshea shughuli yake ya kila siku, kama shoeshine, mtu anaeshona nguo, office ya radio & tv, office ya carpenter and whatever, wanavaa vile wanapendeza machoni pa watu. A female teacher may wear a khanga designed cloth na amefunga kilemba yake kichwani anaendea office,

So mie nadhani hawako interested kuvaa hivyo basi wanafanya matakwa yao.

Hi.
 
Inategemea nawewe unamaanisha ni kazi ipi, maana hata Parishiweka wa Kanisani anakuwaga ofisini, yaani wewe umejichanganya mpaka basi anyway vuta pumzi alafu jiulize tena.
 
Njoo unione miye sekretari wa waziri Mkuu nikiwa maeneo yangu na kitenge au kwao Tamisemi ndo nguo hizoo.
 
We unafanya kazi kiwanda cha kuoka mikate?? ofisi kibao zina viyoyozi, hili swali achia wanawake wajibu, we mwenye kitobo kimoja halikuhusu endelea kulelewa na hilo puto lako eboh!!...poor reasoning and conclusion
Aliyekuamsha leo naomba akuamshe tena kesho ili unisaidie kuwanyoosha hawa vijana. Ukiondoa ishu ya viyoyozi, Kwa akili yake anadhani maofisi yako Dsm peke yake.... Iringa, Arusha, Mbeya nk nako kuna joto?

Msaada kwenye tuta tafazali: Puto ndo makitu gani tena yailahi toba?
 
Aliyekuamsha leo naomba akuamshe tena kesho ili unisaidie kuwanyoosha hawa vijana.

Msaada kwenye tuta tafazali: Puto ndo makitu gani tena yailahi toba?

Mpwa huyo raia kanitibua kule imebidi niingie vita ya msituni...
Puto ni mwanamama kabati au sanamu ya Michellin, kavimbaaa anasubiri kupasuliwa tu.
 
Back
Top Bottom