MITIHANI yaibwa UDSM

kwanza rekebisha hilo tangazo linamislead kilichoibwa si mitihani ila ni majibu ya mitihani, halafu tukumbuke kuna bahati mbaya tusilaumu sana, he is a human being so anaweza kukosea, by the way kabla hamjalaumu mnatakiwa kusikiliza sababu alizotoa na zimepoteaje, kitivo cha sheria hawajafanya siri ila walikuwa wanaangalia uwezekano kwanza wa kupatikana kabla ya kutangaza, mtihani kurudiwa its okey kila mtu apate anachostahili, tupo tayari kurudia pepa tukishapewa notice na good reason za kurudia.
solidarity forever.
 
Back
Top Bottom