zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,910
NECTA chini ya serikali ya ccm inapendeleaga watu? kivipi ama umekurupuka ndugu yetu..tujuze basi na sisi tujue.
Sakata linaloendelea hujaliona? tazama magazeti ya leo.
NECTA chini ya serikali ya ccm inapendeleaga watu? kivipi ama umekurupuka ndugu yetu..tujuze basi na sisi tujue.
Heli yako umemaliza univesty na sasa unaendelea kutoa ilmu hapa kwenye kibalaza cha JF na hapo ndio tunasema ilmu ni kitu bola sana ingawa si lahisi kuipata katika mazingila yetu ya sasa kwa sababu ya mizengwe ..................LOLKumbe jf kumejaa walimu wa kiswahili wengi kiasi hiki khaaa...Najutaaa.. kuwafahamu
Heli yako umemaliza univesty na sasa unaendelea kutoa ilmu hapa kwenye kibalaza cha JF na hapo ndio tunasema ilmu ni kitu bola sana ingawa si lahisi kuipata katika mazingila yetu ya sasa kwa sababu ya mizengwe ..................LOL
Sijakudharau, nimekwambia kweli, kama msomi wa chuo hutakiwi kufanya makosa ya primary school. Nyie ndio mnaopendelewa na NECTA.
Wewe nawe, ni "wahadhiri" na sio wahadhili.
Halafu ndio jitu la University, huwa mnaingiaje huko kwa kuhonga au ndio NECTA?
Bola na 'ilmu' ndio nini? Au ulimaanisha 'bora' na 'elimu'?
hiki hapa? nimemsikiliza dr Kawambwa hapo sasa unalalamika nini tena?Sakata linaloendelea hujaliona? tazama magazeti ya leo.
Heli yako umemaliza univesty na sasa unaendelea kutoa ilmu hapa kwenye kibalaza cha JF na hapo ndio tunasema ilmu ni kitu bola sana ingawa si lahisi kuipata katika mazingila yetu ya sasa kwa sababu ya mizengwe ..................LOL
Hivi kwa nini mitihani ya UE isiwe inasahishwa na bodi maalumu kama ilivyo NECTA kwa shule za secodary natamani iwe hivi ili kupunguza unfair zinazotendwa na wahadhili wetu hapa Tz.Unakuta mdhari anajiona kama mwinyi na kufanya aogopwe utafikiri MUNGU mtu nakumbuka kabla ya kuingia chuoni nilipewa maneno ya kunitisha eti "usithubutu kugombana na lecture hata kama kakugongea demu wako" niliogopa sana kwa kweli na nilipoingia chuo niliziona unfair nyingi sana.Je kwa nin wasisahishe UE kule TCU kwa kuapoint wahadhili randomyl kutoka mavyuoni?
"Hivi kwa nini mitihani ya UE..." hapa ulimaanisha nini mkuu? Au ulimaanisha University Examination? Kama jibu NDIYO. Je ukitafsrika ni sawa na kusema ..."Hivi kwa nini mitihani ya mitihani ya chuo kikuu..."
Natumaini utakuwa umemaliza chuo kikuu mapema sana kabla ya msimu wa shule za ukata.