mitihani ya necta

Mpigaji

JF-Expert Member
Feb 6, 2011
384
42
Wadau hivi mitihani ya kidato cha 4 au 6 hutungwa kwa kuzingatia mihtusari ya masomo au vipi?
 
Wadau hivi mitihani ya kidato cha 4 au 6 hutungwa kwa kuzingatia mihtusari ya masomo au vipi?
<br />
<br />
ulichouliza ndicho kinapaswa kiwe hivyo. Kutunga mtihani nje ya muhutasari ni kosa utakuwa unapima kitu ambacho sio kusudio la mafunzo. Kwa mitihani yetu ya necta yapo matatizo. Kuna wakati maswali yanakuwa nje ya muhutasari.
 
Wanaotunga mitihani ni waalimu wa Tanzania, wanatumia mitaala ya Tanzania. NECTA wapo sahihi wanapotunga mitihani.
 
Back
Top Bottom