Mpaka sasa sijaelewa....
Hamia viti vya mbele,walimu wenyewe wana sauti ndogo
Ha ha ha haaah!!! Nimewafuatilia walimu wangu lakini bado sipati picha!
hahahaha.. katavi..i know .. i know .. hii ni ngumu..! kumeza
actually hii kitu haina tofauti na skype! but viber ina acesss phone book yako ... mfano ukisha install viber app .. kama kuna mtu kwenye phone book yako anatumia viber anapata allert kwamba "ebana katavi anatumia hii kitu kama vipi mu add" kumbuka ukiistall viber itakuuliza uingize number yako ya simu ...
"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯
Katavi hebu sema hujaelewa nini tukuelewesha kama lipo ndani ya uwezo wetu
naanza kuelewa kwa mbali, nitarejea nikikwama!
Unapenda vya bure eeenhee... Jiangaliembona mnaleta maneno ya maana halafu mnatoa maelezo kama mnakimbizwa jamani. Hebu tupe ufunuo hatua kwa hatua.
hiyo hapa bado maana hatuna Wimax au wireless.so bado ili kupata internet kwenye simu lazima uwe kwenye coverage ya mitandao hiyohiyo unayosema kwishnei
Unapenda vya bure eeenhee... Jiangalie