Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mitaa ya akina bofl.....

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mr Q, Sep 19, 2012.

 1. Mr Q

  Mr Q JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 3,186
  Likes Received: 1,594
  Trophy Points: 280
  Donge nono kutolewa kwa mtu yeyote endapo atafanikisha kifaru huyu kupatikana baada ya kupotea mara ya mwisho nilisikia kakatiza mtaani kwa akina Boflo
  SABABU YA KUTUMIA JINA LA BOFLO NI KWA SABABU YA YEYE KUWA MMOJA WA WADAU WAKUBWA KTK JUKWAA HILI.
  shukrani kwa anuani tajwa hapo kwenye picha.
   

  Attached Files:

  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  boflo akilikuta hilo haliachi, au lenyewe halimuachi. wanyama nao wana akili ya kutambua huyu boflo na mwingine sio boflo...
   
 3. Mr Q

  Mr Q JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 3,186
  Likes Received: 1,594
  Trophy Points: 280
  Mh! Hapa sitii neno asante kwa kureply.
   
 4. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hata wanyama huweza kuwa machangu kumbe.
   
 5. Mr Q

  Mr Q JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 3,186
  Likes Received: 1,594
  Trophy Points: 280
  Kwa kuona kufuli au?
  Huyo hakupenda kujiachia ndo maana akaamua kulipachika kufuli hilo.
   
 6. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #6
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  tatizo kakufuli kenyewe ndio ka kichangu sasa.
   
 7. Mr Q

  Mr Q JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 3,186
  Likes Received: 1,594
  Trophy Points: 280
  Mh! Haya bhaana
  Lakini nasikia watoto wa mujini huzipenda sana. Hata humu JF wamo. Akina madame nanii,... Na wenzake.
   
Loading...