Misumari 13 Kati ya 24 Yatolewa Mwilini Mwa Housegirl!

Hawa ndio waarabu bwana. Torturing kwao is the order of the day na ndiyo maana wakikosa wa kuatorture wanajitorture wenyewe. Hawana huruma hawa watoto wa mama mdogo kabisa!
 
Aisee! Mimi nadhani ni madhara(effects) ya dini. Imewaharibu sana mpaka wanakaribia kuwa wanyama. Siwashangai Wasomali
Sasa na hawa Watanzania wenzetu wanaowapiga wafanyakazi wao wa ndani na kuwachoma moto watoto kwa sababu wamedokoa nyama jikoni ndio tuseme watanzania wote tuko namna hiyo? Watoto wadogo wangapi wanachukuliwa kwenda kufanyishwa umalaya huko Italy ndio tuseme dini ya hao jamaa walioko Italy imewatuma wafanye hivyo? Hizi ni kasoro za kibinadamu ambazo kila mmoja ana zake, tusishambulie dini kwa namna yoyote ile. Nafikiri nimeeleweka
 
Sisi hatushambulii Dini. Ila tuelezea Waarabu walivyo makatili kupita kiasi. Bahati mbaya sana hulka yao na namna ya maisha yao yanaendana na Dini yao. Hao wa mifano yako kuwa wanakwenda huko Italy kufanya Umalaya ni bora zaidi kuliko wale wanaowabaka wafanyakazi wao wa ndani huko Uarabuni. Ubakaji wa watumishi wa ndani umekithiri sana Arabia kuliko sehemu yoyote Duniani. Kwanini hao waarabu wasiende tu huko Italy kulipia hizo mbunye?.
 
Wacha unafiki wewe Kanyafu Nkanwa, nani kakwambia hao watumwa wanaochukuliwa kutoka Eastern Europe kupelekwa Western Europe wana maisha bora? Ubakaji wa watumishi wa ndani hata hapa Tanzania upo mwingi lakini hao mabinti wanaobakwa hawana access na vyombo vya habari ndio maana wakanyamaza.

Jee tuseme hao mapadri ma paedophiles wametumwa na kanisa?
 
Hawa ndio waarabu bwana. Torturing kwao is the order of the day na ndiyo maana wakikosa wa kuatorture wanajitorture wenyewe. Hawana huruma hawa watoto wa mama mdogo kabisa!

Tafadhali usijumrishe kosa la mtu mmoja kwa mamilioni ya Waarabu. Je huyo Mwafrika chini aliyechinja tuseme ni ndio roho za Waafrika woote?.

.............
Maid ‘killed mother and daughter’
Awad Mustafa
  • Last Updated: August 17. 2010 12:13AM UAE / August 16. 2010 8:13PM GMT
DUBAI // A housemaid stabbed her employer 70 times before killing the woman’s two-year-old daughter by setting fire to the home on Saturday, according to police.

The 21-year-old African maid fled the scene, but she was found by police hiding in another emirate less than 24 hours later and arrested on suspicion of murder, said Lt Col Salim Sultan al Darmaki, the chief of the Ras al Khaimah CID.

The apartment was completely gutted by the blaze, leaving not much more than the toddler’s two bikes, which yesterday lay abandoned in the smoke-streaked corridors of the building.

The killings happened in the Nakheel area of RAK, said the watchman at the building, who spoke on condition of anonymity.

He said he spotted the fire at 8.30am and called police, who arrived within minutes. “There was lots of smoke and broken glass everywhere,” he said.

According to Lt Col al Darmaki, a fire was reported inside the flat where the bodies of a 35-year-old Arab woman and her daughter were found. Police immediately launched a search in a bid to find the housemaid.

The deceased’s Emirati husband told police the maid had started working for the family only 10 days before the deaths.

“Investigators found and arrested the maid in another emirate, where she was staying with female compatriots,” said Lt Col al Darmaki.

The maid, who had been living in the country for just 20 days before her arrest, had already been sacked by two Emirati families before her employment agency sent her to the home where she allegedly killed the mother and child. Police forensic reports show that the woman died from stab wounds while the child died from smoke inhalation.

Lt Col al Darmaki said the maid confessed to police claiming she killed the Arab woman because she mistreated her. Police say that the two women got into an argument and the maid was told she would be sent back to the employment agency.

The mother contacted the agency and ordered the maid to pack her belongings.

The maid then stabbed the woman 70 times in different parts of her body and placed her blood soaked clothes in a bag before setting light to it and fleeing.

The fire swept through the flat, killing the little girl.“She said in her confession that her work was continuously criticised by her employer and they had repeated arguments during which the Arab woman threatened to fire her and send her home,” said Lt Col al Darmaki.

Lt Col al Darmaki warned the hiring of maids should not be taken lightly.
“The decision to employ a servant at home should be taken with a lot of care and caution, and people should always try to treat each other better and avoid conflicts that can lead to such disasters,” he said.

The case has been referred to the public prosecutor.

amustafa@thenational.ae
 
Wacha unafiki wewe Kanyafu Nkanwa, nani kakwambia hao watumwa wanaochukuliwa kutoka Eastern Europe kupelekwa Western Europe wana maisha bora? Ubakaji wa watumishi wa ndani hata hapa Tanzania upo mwingi lakini hao mabinti wanaobakwa hawana access na vyombo vya habari ndio maana wakanyamaza.

Jee tuseme hao mapadri ma paedophiles wametumwa na kanisa?

Ukifanya utafiti, unaweza kukuta wabakaji wa wa watumishi wa ndani wa Tanzania ni hao hao au asili hiyo hiyo. Fanya homework
 
Tafadhali usijumrishe kosa la mtu mmoja kwa mamilioni ya Waarabu. Je huyo Mwafrika chini aliyechinja tuseme ni ndio roho za Waafrika woote?.

Lt Col al Darmaki said the maid confessed to police claiming she killed the Arab woman because she mistreated her. Police say that the two women got into an argument and the maid was told she would be sent back to the employment agency.

amustafa@thenational.ae

Kumbe huyu Mwanamke Mwarabu ndiye aliyeanza ukorofi?
 
Kanyafu Nkanwa angalia hiyo link ya video hapo juu (No. 27) halafu ndio useme kama ni waarabu au wa kabila gani waliofanya huo udhalilishaji
 
Thanks for thinking that way but see in your own mirror in your own neighbourhood to see what an African is doing to his fellow African first!...... Kuchinjana, kuuwana, kunyongana, kuuwa wazeruzeru bila hatia kwa imani dhaifu na duni!!

Hiyo picha inapokelewa duniani!!!! Pia kuna watu wanodhani Waafrika ni watu katiki kuliko wote dunianii.

Don't throw stone to your neihgbour if your house is made of glass!
 
Kumbe huyu Mwanamke Mwarabu ndiye aliyeanza ukorofi?

Itakavyokuwa baada ya sheria kuchuua mkondo wake. Ila Kumbe wewe unaona ni sawa kuwa huyo manamke Mwafrika anachukuwa sheria mkononi mwake wa kuua mtu na mtoto wake? -Huo huuoni ama ni unyama kama hauzidi ukorofi? Hizi ndizo "jungle rules" unazo propagate? Na huyo mtoto kuuwawa ana dhambi gani? -

Ndo maana hao zeruzeru wanauwawa huko kwenu au kukatwa viungo bila hatia!!
Na wazee kwa visu kwa kuwahisi ni wachawi tu!! Hizo fikra ndiyo kwanza zinabidi zitibiwe! Maana nii maradhi kutukana au kujumrisha mamilioni ya watu isipokuwa kwa mtu aliye na akili finyu
 
kabla ya civil rights za Marekani, watu weusi walikuwa wakinyongwa hadharani kwa makosa madogo sana na mara nyingi ni ya kusingiziwa. Watu weupe wa kimarekani walikuwa wanakusanyika katika viwanja wanasheherekea tu, na wengine walikuwa wakifanya picnic. Roho mbaya na chuki haina kabila. Je Hittler alivyokuwa akiwatia Wayahudi katika majokofu ya joto ( ovens) alikuwa ni mwarabu wa wapi? Au alikuwa dini gani? Nadhani tujitahidi tusianze kujengeana chuki kiasilia au kidini tutafika pabaya. Ndugu zetu Wanyarwanda waliuana kikatili mwaka 1994, wote weusi, wengi wao walikuwa watu si wadini moja tu, bali hata dhehebu moja nadhani. Tujifunze kuvumiliana tafadhalini.
 
Sijaona ni sawa ila nimesema kwamba Mwanamke Mwarabu ndiye aliyeanza ukorofi, Ok?
 
kabla ya civil rights za Marekani, watu weusi walikuwa wakinyongwa hadharani kwa makosa madogo sana na mara nyingi ni ya kusingiziwa. Watu weupe wa kimarekani walikuwa wanakusanyika katika viwanja wanasheherekea tu, na wengine walikuwa wakifanya picnic. Roho mbaya na chuki haina kabila. Je Hittler alivyokuwa akiwatia Wayahudi katika majokofu ya joto ( ovens) alikuwa ni mwarabu wa wapi? Au alikuwa dini gani? Nadhani tujitahidi tusianze kujengeana chuki kiasilia au kidini tutafika pabaya. Ndugu zetu Wanyarwanda waliuana kikatili mwaka 1994, wote weusi, wengi wao walikuwa watu si wadini moja tu, bali hata dhehebu moja nadhani. Tujifunze kuvumiliana tafadhalini.

Kweli kabisa ila kuna dini nyingine zinachochea mauaji, usijifanye kuwa huna macho ya kuona na masikio ya kusikia! Wewe unadhani binadamu anaweza kujilipua bure tu? Umewahi kuona mtu wa dini gani akijiua kama sio dini moja tu duniani kwa njia ya Jihad ambayo wao hudai eti ni "vita takatifu?" Na huo "utakatifu wa vita," kama upo anyway, unatokana na nini?
 
Sitaingilia masuala ya dini maana hiyo ni imani na ni kitu very personal, na sensitive. Si kusudi langu kushambulia dini moja au nyingine kitu ambacho kinawezekana. Nashukuru kwa kujibu hoja yangu na huu ndio mwisho wa mchango wangu katika huu mjadala.
 
kabla ya civil rights za Marekani, watu weusi walikuwa wakinyongwa hadharani kwa makosa madogo sana na mara nyingi ni ya kusingiziwa. Watu weupe wa kimarekani walikuwa wanakusanyika katika viwanja wanasheherekea tu, na wengine walikuwa wakifanya picnic. Roho mbaya na chuki haina kabila. Je Hittler alivyokuwa akiwatia Wayahudi katika majokofu ya joto ( ovens) alikuwa ni mwarabu wa wapi? Au alikuwa dini gani? Nadhani tujitahidi tusianze kujengeana chuki kiasilia au kidini tutafika pabaya. Ndugu zetu Wanyarwanda waliuana kikatili mwaka 1994, wote weusi, wengi wao walikuwa watu si wadini moja tu, bali hata dhehebu moja nadhani. Tujifunze kuvumiliana tafadhalini.

Nakupa pongezi tu. Naam hHii ndio busara tunayotegemea! Sio watu wanaotafuta kuchochea chuki baina ya Mataifa bila kutumia wisdom kwa kutafuta kosa moja au mawili bila hata kujua ni kweli and feki!.
Moja ya kazi yangu ilikuwa kutafuta na kudumisha marafiki sio kutafuta maadui. Kinachoshangaza tunasoma chuki nyingi dhidi ya Waarabu katika Jamii forum na kutoka Tanzania kuzidi mataifa yote ulimwenguni ! Nadhani zaidi au sawa na Israel!
 
kabla ya civil rights za Marekani, watu weusi walikuwa wakinyongwa hadharani kwa makosa madogo sana na mara nyingi ni ya kusingiziwa. Watu weupe wa kimarekani walikuwa wanakusanyika katika viwanja wanasheherekea tu, na wengine walikuwa wakifanya picnic. Roho mbaya na chuki haina kabila. Je Hittler alivyokuwa akiwatia Wayahudi katika majokofu ya joto ( ovens) alikuwa ni mwarabu wa wapi? Au alikuwa dini gani? Nadhani tujitahidi tusianze kujengeana chuki kiasilia au kidini tutafika pabaya. Ndugu zetu Wanyarwanda waliuana kikatili mwaka 1994, wote weusi, wengi wao walikuwa watu si wadini moja tu, bali hata dhehebu moja nadhani. Tujifunze kuvumiliana tafadhalini.

We Luganilo, sisi tunaongelea ukatili wa Waarabu. Bahati mbaya waarabu karibu wote, ukiondoa wachache sana, ni Waislam!. Sasa kama tunaongelea waarabu, wewe hizo chuki zako unazohubiri hapa ni za wapi? Tulitegemea na wewe ungeunga mkono kuwabana waarabu waache udhalimu wao. Issue za kwamba USA miaka hiyo kulikuwa na watu wanawapiga risasi wenzao, je hujui kuwa hata hapa TZ kulikuwa na waarabu wanawaua weusi ambao wanashindwa kubeba meno ya tembo kufikisha pwani au kuwatupa baharini wale wagonjwa?. Je hujui kuwa weusi wote waliopelekwa Arabia walihasiwa nanii zao ili wasiweze kufanya lolote? Hujawahi jiuliza kwamba kwanini wale weusi wote waliokuwa wakiondoka huku Tanzania au East Africa kupitia soko maarufu la Ngome kongwe Zenj kwa kutumia pepo za kusi kwenda Arabia wako wapi?! Huoni hivyo vitu kabisaaa!
Usilinganishe vitu ambavyo haviendani kabisa. Tunaongelea UKATILI uliokithiri wa waarabu. Ni wadhalimu wakubwa sana na watu wabaya sana ambao utamaduni wao haufai kuigwa popote Duniani. Ni noma sana hao watu
 
Kabisa!
 
Back
Top Bottom