Timu za ivory coast na cameroon ambazo zilipitia tanzania na kenya
kwa ajili ya mazoezi hatimae zimeaga mashindano ya can angola
wakati ivory coast walianza wenzao cameroon wameaga jana kwa style ya aina yake
tunawakaribisha tena 2012 mkifanikiwa
Mimi najiuliza, hivi Tanzania ingekuwa na wachezaji waliosheheni kila upande kama Ivory Coast au Cameroon halafu ikafungwa kama ilivyotokea ingekuwaje?. Wachezaji wetu mbuzi hivi tukifungwa noma namna hii, tungekuwa viwango huyo kocha si angechunwa ngozi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.