Mistari. . .

How Do You Want It..... 2Pac Shakur. Feat. Kci & Jojo

.....
" How do you want it,
How do you feel,
I'm coming out as a figganigga in the cash game,
I'm living in the fast lane,
I'm For real ! ... "

hapo nimekusoma. Mia
 
Mie wanikumbusha zamani Lizzy, enzi hizo

Chura nakuulizia, unipe jibu makini
kwa kila ijapo mvua, wakimbilia bwawani
Mwanzo nilikudhania, umlinzi kisimani
mtu utamzuia, maji akishatamani
akaja dada Rukia, na ndooye mkononi
chura ukajing'atua, ukajitosa pembeni

Wimbo huu au shairi!?
 
Big Poppa - Nototrious B.I.G

"Honey check it, tell your friends, to get it with my friends and we could be friends, we can do this every weekend"
 
Spesho day sindo leo?

Hivi "kazi yangu ya dukani" ni mchiriku ehh?

Leo itakuwa haina ladha, nataka nikusapraiz.

Kazi ya dukani ni mchiriku lakini kaupiga slow sana, mchiriku unatakiwa uwe 120Km/hour halaf ukiusikilizia kwa mbali utagundua ameuchanganya na mahadhi ya mchujo wa chakacha , lakini still umetulia kiaina yaani
 
One More Chance - Notorious B.I.G

"While I'm swimmin in ya women like the breast stroke, right stroke, left stroke was the best stroke, death stroke - tongue all down her
throat"
 
Leo itakuwa haina ladha, nataka nikusapraiz.

Kazi ya dukani ni mchiriku lakini kaupiga slow sana, mchiriku unatakiwa uwe 120Km/hour halaf ukiusikilizia kwa mbali utagundua ameuchanganya na mahadhi ya mchujo wa chakacha , lakini still umetulia kiaina yaani
Sapraiz sapraiz....haya nasubiria.

Nipe jina la wimbo wa mchiriku wa ukweli nisikilize.
 
Nyimbo za zamani
zilikuwa na mizani na vina
Taarabu ya mwaka 1983
Ohoooo!!!Siku hizi mafumbo na vijembe ndio muhimu!!

Hehehehe alafu nimekumbuka wimbo mmoja wa taarab uliovumaga miaka ya 2000.
Taarab imo. . .taaarab imo naona mambo iko huku.
Taarab imo. . .taaarab imo naona mambo iko huku.
Weeeee!Utaumiza roho yakooo!
 
Hii mistari ya Meek Mill naizimia sana

Scared money don't make no money,
If I ever go broke, I'ma take your money, I ain't never dropped a dime, you
Ain't gon' take nuhtin from me, I'm in the hood every day. I'm good, what I say?
Bitch I'm a bossssssss


 
Sapraiz sapraiz....haya nasubiria.

Nipe jina la wimbo wa mchiriku wa ukweli nisikilize.

Nyimbo nyingi za mchiriku zinaishia kitaa tu tabu sana kuzipata You tube , kwanza samtaimu inatungwa pale pale kwenye mic. Mchiriku wa kitaa youtube nimeuona mmoja tu , ule uliopigwa na ze finest na Uporoto, nishauweka sana hapa JF
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom