Missing you

Bar kuna makatekista na walei wa kumwaga! Njoo zero pub Eliza akuchape injili.

sasa wewe Iribini mi hayo mambo ya eliza siyataki kabisa.....hubiriwa mwenyewe na kampani yako....kumbe wahudumu wa bar nao ni makatekista?
 
Kwahiyo utakuja au huji? Niko siriaz ujue!
 
happy new year Best sijakusikia siku kibao upo?!...nilidhani umewekwa ndani for a minute...LOL!

heheheheh nimewekwa ndani kwani kidogo! yaani nimeamini kuna sehemu ukigusa best you are deemed to be lost completely! najitahidi hapa kujinasua lakini chai yenyewe naletewa kitandani nambie ntatokaje sasa...

how are you doing?:rolleyes:
 
ndio vekesheni hizo!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom