Missing you'

Fesibuku watoto wamezidi' nimeamua kurudi janvini' JF.
 
tupo kwenye mihangaiko ndugu yangu subiri mwaka upinduke tutarudi jamvini :poa.Nalog off
 
nimekumic sana jamani,upo?
niko mbali kidogo,nami nimewamiss mno nyie watu,ila ndio sina jinsi,huku niliko stater pack ya simu inauzwa karibu US$ 200 na mizengwe kibao ya kusajili sijui nini,basi nipo kama niko kaburini vile sina mawasiliano wala nini :sad:.Nalog off
 
pole sana jamani,hehe ndo wapi huko lakini,naweza kuja kukupa kampani
 
niko mbali kidogo,nami nimewamiss mno nyie watu,ila ndio sina jinsi,huku niliko stater pack ya simu inauzwa karibu US$ 200 na mizengwe kibao ya kusajili sijui nini,basi nipo kama niko kaburini vile sina mawasiliano wala nini :sad:.Nalog off

nenda kule gadget ukachukue maujanja ya offline gmail itakusaidia pia..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom