Missing him cruelly...

Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,579
5,375
8 Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu, Ninyi mkimwona mpendwa wangu, Ni nini mtakayomwambia? Ya kwamba nazimia kwa mapenzi.
9 Mpendwa wa namna gani ni mpendwa wako, Wewe uliye mzuri katika wanawake, Mpendwa wa namna gani ni mpendwa wako, Hata wewe utusihi hivyo?
10 Mpendwa wangu ni mweupe, tena mwekundu, Mashuhuri miongoni mwa elfu kumi;
11 Kichwa chake ni kama dhahabu safi sana, Nywele zake ni za ukoka, nyeusi kama kunguru;
12 Macho yake ni kama hua penye vijito, Wakioga kwa maziwa, wakiikalia mito iliyojaa;
13 Mashavu yake ni kama matuta ya rihani, Ambayo hufanyizwa manukato; Midomo yake ni kama nyinyoro, Inadondoza matone ya manemane; 14 Mikono yake ni kama mianzi ya dhahabu, lliyopambwa kwa zabarajadi; Kiwiliwili chake kama kazi ya pembe, Iliyonakishiwa kwa yakuti samawi;
15 Miguu yake ni kama nguzo za marimari, Zilizowekwa juu ya misingi ya dhahabu; Sura yake ni kama Lebanoni, Ni bora mfano wa mierezi;
16 Kinywa chake kimejaa maneno matamu, Ndiye mzuri sana pia pia. Ni huyu mpendwa wangu, ni huyu rafiki yangu, Enyi binti za Yerusalemu.
Source: Wimbo Ulio Bora, 5:8-16 (Bibilia Takatifu)
 
Huyu ndio solomon bana king wa malavidavi nasikia eti aliuwa na wake 700 na concubine 300,?mm hawa watatu wanantoa jasho.
 
True that, ila aliandika kuhusu mmoja wao tu, BALKIS, queen of shebah. Na haya maneno hapo juu ni toka kwa Balkis.
 
8 Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu, Ninyi mkimwona mpendwa wangu, Ni nini mtakayomwambia? Ya kwamba nazimia kwa mapenzi.
9 Mpendwa wa namna gani ni mpendwa wako, Wewe uliye mzuri katika wanawake, Mpendwa wa namna gani ni mpendwa wako, Hata wewe utusihi hivyo?
10 Mpendwa wangu ni mweupe, tena mwekundu, Mashuhuri miongoni mwa elfu kumi;
11 Kichwa chake ni kama dhahabu safi sana, Nywele zake ni za ukoka, nyeusi kama kunguru;
12 Macho yake ni kama hua penye vijito, Wakioga kwa maziwa, wakiikalia mito iliyojaa;
13 Mashavu yake ni kama matuta ya rihani, Ambayo hufanyizwa manukato; Midomo yake ni kama nyinyoro, Inadondoza matone ya manemane; 14 Mikono yake ni kama mianzi ya dhahabu, lliyopambwa kwa zabarajadi; Kiwiliwili chake kama kazi ya pembe, Iliyonakishiwa kwa yakuti samawi;
15 Miguu yake ni kama nguzo za marimari, Zilizowekwa juu ya misingi ya dhahabu; Sura yake ni kama Lebanoni, Ni bora mfano wa mierezi;
16 Kinywa chake kimejaa maneno matamu, Ndiye mzuri sana pia pia. Ni huyu mpendwa wangu, ni huyu rafiki yangu, Enyi binti za Yerusalemu.
Source: Wimbo Ulio Bora, 5:8-16 (Bibilia Takatifu)

sasa haya maneno kuanzia namba 7 kwenda mpaka 1 si yatakuwa matamu sana.....kama 8 hadi 16 ni hivi wallah.....
 
8 Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu, Ninyi mkimwona mpendwa wangu, Ni nini mtakayomwambia? Ya kwamba nazimia kwa mapenzi.
9 Mpendwa wa namna gani ni mpendwa wako, Wewe uliye mzuri katika wanawake, Mpendwa wa namna gani ni mpendwa wako, Hata wewe utusihi hivyo?
10 Mpendwa wangu ni mweupe, tena mwekundu, Mashuhuri miongoni mwa elfu kumi;
11 Kichwa chake ni kama dhahabu safi sana, Nywele zake ni za ukoka, nyeusi kama kunguru;
12 Macho yake ni kama hua penye vijito, Wakioga kwa maziwa, wakiikalia mito iliyojaa;
13 Mashavu yake ni kama matuta ya rihani, Ambayo hufanyizwa manukato; Midomo yake ni kama nyinyoro, Inadondoza matone ya manemane; 14 Mikono yake ni kama mianzi ya dhahabu, lliyopambwa kwa zabarajadi; Kiwiliwili chake kama kazi ya pembe, Iliyonakishiwa kwa yakuti samawi;
15 Miguu yake ni kama nguzo za marimari, Zilizowekwa juu ya misingi ya dhahabu; Sura yake ni kama Lebanoni, Ni bora mfano wa mierezi;
16
Kinywa chake kimejaa maneno matamu, Ndiye mzuri sana pia pia. Ni huyu mpendwa wangu, ni huyu rafiki yangu, Enyi binti za Yerusalemu.
Source: Wimbo Ulio Bora, 5:8-16 (Bibilia Takatifu)

Nimekupata ila sijaelewa baadhi ya maneno kwenye huu wimbo naomba unipe maana zake ili niuelewe vyema.
  • Hua
  • Matuta ya rihani
  • Nyinyoro
  • Manemane
  • Zabarajadi
  • Yakuti samawi na
  • Mierezi.
 
Maneno matam sana hayo,lakini leo hayana tena maana,au yawezekana umempa mtu dedication kisirisiri?
 
Kwa kweli hata mimi baadhi ya hayo maneno siyaelewi ila the idea ni kuonesha vule anakumbuka midomo yake na kuyafananisha na kitu vitamu vyenye kudondosha vitu vitamu vingine etc. From google translate, ona tafsiri ya maneno hayo (the comments in bracket are from me lakini)

Nimekupata ila sijaelewa baadhi ya maneno kwenye huu wimbo naomba unipe maana zake ili niuelewe vyema.
  • Hua
  • Matuta ya rihani: Beds ofbasil (Basil ni kiungo cha majani, kunanukia safi sana, mostly used in pizza)
  • Nyinyoro
  • Manemane: myrrh (ni utomvu wa mti fulani unatumika kutengeneza udi)
  • Zabarajadi: beryl 9Ni aina ya madini fulani , precious stone close to emerald, iko mostly green)
  • Yakuti samawi Sapphire (Another precious stone, hii iko Bluu)
  • Mierezi : Cedar (ni aina ya mti unaotoa mbao za quality nzuri sana, pia wanaweza kutengeneza wine kwa majani yake)
 
Nimeona lakini umetumia kiwakilish badala na nafsi ya kwanza!
 
duh umenikumbusha mbali na kiswahili fasaha, sijui bado kuna waalimu wazuri wa kiswahili nowdays??
nimependa sana hizo quote za kwenye bible, yaelekea RR amekaa akachambua vema mashairi yake, na hii inaonyesha thamani halisi ya anachokimiss
 
RR una kipaji cha tofauti. Nataka nifungue kanisa, unafaa sana kama tukiunganisha nguvu sote. Tupige kazi kama upo tayari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom