Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,443
karibu tena -!
hivi wewe?=ni leo tu nilikua nafikiria kukuanzishia sredi hapa,ninini hivyo au ndo mapenzi kwa akili mukichwa yamekaba?sie wazima tu mamiiJamani habari za maisha na masiku tele,kwaweli nawamiss na kuwapenda sana
hivi wewe?=ni leo tu nilikua nafikiria kukuanzishia sredi hapa,ninini hivyo au ndo mapenzi kwa akili mukichwa yamekaba?sie wazima tu mamii
dah mkuu poa nawe nae umepotea kichiz juzi naskia vihonihoni nikawa sielewi kumbe chat inanibip,hili jukwaa jipya zengwe mkuu.Inakuwaje kijana.......uko kimya sana aisee
Jamani habari za maisha na masiku tele,kwaweli nawamiss na kuwapenda sana