Miss u Faiza Foxy

Ngongoseke

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
3,203
1,462
Kwani hujaona heading mpaka ufungue huku?Mod mpeni msamaha Faiza tumemiss manjonjo yake jamvini,
 
Da alikuwa ananiboa sanaaa na kunikeraa.
Lakini siyo siri alikuwa ananifurahisha sana kwa ujasiri,uhodari na stamina yake ya kuweza kubishana na kuzipangua hoja za wadau kwa hoja na point zenye ujazo bila kutoka nje ya mada na bila hasira wala ghadhabu.
 
PAW, Invisible, Fang, etc., plz mfungulieni huyu mtu anachangamsha sana humu.
 
Its human nature to recognise someone's importance only when they are gone.
Its true, ni miongoni mwa wanawake wa shoka humu jukwani!. Sidhani kama kupotea kwake ni sababu ya ban, huyu atakuwa kaisusa jf baada ya kugundua ile agenda yake na guru wake Mzee MS inapata upinzani mkali humu jukwaani, kajifungashia virago vyeke na kujiishia zake!.

FF huko iliko, japo ni kweli tunakumisi sana humu jukwaani, wewe ni Mwanamke swafi wa Kiislamu bora jitulize hivyo hivyo utimize kile Mola alichokuletea duniani kumhudumia mumeo, kutunza familia yako na kumswalia Mtume!. Sio kuja kupigishana mikelele na mijitu ya humu!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom