Miss Tanzania bila "ukahaba" inawezekana?

ngiambuya necha mleu chu naiwama speed inganyi ngaamba naiwama kuri mpaka ***** kulya
luaambuye necha ...
 


mpwa nimependa avator yako kama wote tungekuwa tukikojoa barabarani akuna majani
wala miti ambayo ingekufa ila huu mpira wa nyuma kidoogo umeniacha !!!!!

Ubarikiwe sana na yesu na mama yake Maria na baba yake Yosefu
 
Ungemalizia
mwana wa mungu kuna yosefu matapeli wengi kweliiiiiiiiiihasa tandika na $$%%%nsiseme
 
Huu mti mpwa umefanana na pam tree zilizowekwa kipindi cha mkutano mliman city
kama zimepandwa miaka 5 iliopita kumbe ulikuwa usiku wa baraka dar ikapendeza
 
ngiambuya necha mleu chu naiwama speed inganyi ngaamba naiwama kuri mpaka ***** kulya
luaambuye necha ...

Hii inafanana na zile lugha za mapepo wanazoongeaga kina Mwakasege na yule mhindi wa tv ya ATN kwenye mahubiri yao. Wewe ni mteja wao au?
 


mpwa nimependa avator yako kama wote tungekuwa tukikojoa barabarani akuna majani
wala miti ambayo ingekufa ila huu mpira wa nyuma kidoogo umeniacha !!!!!
huyo dogo ameshauwa mashine hiyo miba uwa ina sumu kali na kama hiyo sumu imeenda kwenye fuko za korodani ndio basi tena atakua sio ridhki
 
Waakati zoezi la utafutaji wa mamiss limeanza watakaolifkisha ama kuwakilisha
tanzania miss word ..tumeanza kukumbushana tena kwa uchafu ama vituko
ama uzinzi unaotendeka kwenye procedure za upatikanaji ma miss hawa
tushazoe kila baada ya mshindi malalamiko live yanaanza na wengine wenye roho ndogowanaongea live na waandishi jamani kule ngono tupu tumeletewa ja%^^&p ooh
papa m%%^& ati tukitembea nae ndio tunapata ushindi ........

LUNDENGA HIZO TAKATAAKA ZA JUU ATUZIITAJI ZIS TYM KWA KWELI
KAMA KUWAARIBU AMA KUWAUZA MSHAWAUZA VYA KUTOSHA WAPENI
MA MISS WANAOSTAHILI NA SI KWA KUGAWA Uc&*((

kwa mara nyingine tena Hashim a.k.a uncle kama wanavyokuita ma miss ni
wakati wa kujisafisha...nimeona mmeanza na mistake kwa kumuweka kahaba
kama jaji kule arusha sasa mnatarajia nini si atachagua kahaba mwenzake
nahisi ama naa mini

MISSS TANZANIA BILA UKAHABA ..AMA BILA KUTOA UCHI KWA WAKINA PREDESHEE WOTE NA MARAFIKI WA HASHIMU LUNDENGA INAWEZEKANA KABISA;;;;;NATUMAINI REGENCY AITAKUWA TENA KIGANGO CHA KUUZIA MAPREDESHE MA MISS WALIOINGIA KWENYE MISS TANZANIA

Hivi unajua kwamba kushiriki U Miss ni gharama? Je unadhani zile bikini za vazi la ufukweni, viatu na vazi la usiku, vazi la utamaduni na gharama zingine huwa wanazipata wapi? Msichana anaweza kuwa mzuri na ana vigezo vyote vya kushinda U Miss lakini hana wazazi au boyfriend wa kumdhamini katika gharama za kushiriki kwenye mashindano ya urembo.

Hapo ndipo the so called pedeshee wanapochukulia pointi. Mjini hapa, kila kitu pesa, watashiriki vipi wasipowezeshwa? Na je ni nani wa kuwawezesha kama sio mapedeshee? Au hili nalo mnataka serikali iingilie kati iwe inakata kodi za wananchi kwenda kununulia warembe chupi za ufukweni? Shtuka!
 
mkuu masaki

bado si sababu ya kuuza mwili wako kama huna uwezo
kuwa mpole na hili ndilo tatizo la madadazetu wengi sana
nilikuwa namwona mrembo mmoja kule bagamoyo kumradhi wema
kwa kweli ni aibu na si yeye wanakuja wahuni na magari yao toka
mjini wanawachukua tena kwa kuitwa na huyuhuyu mnaemwita mratibu wenu kumradhi sitomtaja
na ikifika wakati msichana anaenda kwa mtu ambae uncle ajaambniwa ni kesi tena anatishiwa kuondolewa
ndio maana kwa kweli kwa sytle hii UKAHABA AUISHI MISS TANZANIA ...
 
mkuu masaki

bado si sababu ya kuuza mwili wako kama huna uwezo
kuwa mpole na hili ndilo tatizo la madadazetu wengi sana
nilikuwa namwona mrembo mmoja kule bagamoyo kumradhi wema
kwa kweli ni aibu na si yeye wanakuja wahuni na magari yao toka
mjini wanawachukua tena kwa kuitwa na huyuhuyu mnaemwita mratibu wenu kumradhi sitomtaja
na ikifika wakati msichana anaenda kwa mtu ambae uncle ajaambniwa ni kesi tena anatishiwa kuondolewa
ndio maana kwa kweli kwa sytle hii UKAHABA AUISHI MISS TANZANIA ...

Nani kwakwambia wanauza miili yao? Hebu niambie tangu mashindano haya yameanza, ni Miss gani ambaye alishinda, au wale waliokuwa kwenye tano bora, au hata kumi bora ambaye kafulia?

Wanafuatwa na wanaume wa maana na sio wahuni kama unavyosema! Na ndio wafadhili wenyewe wa warembo ili wamudu gharama za kushiriki urembo. There is no free lunch in this World.
 
Masaki sikuwezi !

Lets call a spade a spade and not a big spoon. Hakuna mrembo anayebakwa, wanakubali kwa hiari yao wenyewe. Na hakuna anayelamishwa. Ni ma miss wangapi ambao mmesikia wamekufa kwa ngoma?

Hivi hamjashtukia kwamba zile starehe za Uswazi ndizo zinazoongoza kwa kusababisha masupastaa kufa kwa ngoma? Angalia waimbaji wa bendi kama Msondo, Sikinde, Twanga Pepeta pamoja na wanenguaji wao, pia angalia waimba taarabu. Nadhani hizo ndizo za kupigwa marufuku, au elimu nasaha inahitajika zaidi huko kuliko kwa Ma miss!

Look at them washindi wa Miss Tanzania since 1994, ni yupi umesikia japo tetesi tu kwamba ana ngoma?
 
Hii inawezekana kama atachaguliwa mtu anayestahili na pia wawekwe chini na kuelimishwa kuhusu maadili.
 
ni kweli kabsaaaaa na hao mamiss jamani misura hiyo ya akina lu..........jamani hasa ukiwaza hawa wenzio walioisha \pitiwa kila mwaka unaopita hebu wanawake jipandisheni thamani, mkigoma wote hako kamchezo hao wakina kaka ndio wapose kama mamiss
 
Nina mdogo wangu aliwahi kupitia hayo mashindano miaka 2 mfululizo. Aliapa hatarudia kwa hayo aliyoyakuta huko, na hajarudia. Sijui kama inawezekana labda hao watu waokoke.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom