Miss Tanzania bila "ukahaba" inawezekana?

sijafulia

Member
Mar 26, 2010
86
2
Waakati zoezi la utafutaji wa mamiss limeanza watakaolifkisha ama kuwakilisha
tanzania miss word ..tumeanza kukumbushana tena kwa uchafu ama vituko
ama uzinzi unaotendeka kwenye procedure za upatikanaji ma miss hawa
tushazoe kila baada ya mshindi malalamiko live yanaanza na wengine wenye roho ndogowanaongea live na waandishi jamani kule ngono tupu tumeletewa ja%^^&p ooh
papa m%%^& ati tukitembea nae ndio tunapata ushindi ........

LUNDENGA HIZO TAKATAAKA ZA JUU ATUZIITAJI ZIS TYM KWA KWELI
KAMA KUWAARIBU AMA KUWAUZA MSHAWAUZA VYA KUTOSHA WAPENI
MA MISS WANAOSTAHILI NA SI KWA KUGAWA Uc&*((

kwa mara nyingine tena Hashim a.k.a uncle kama wanavyokuita ma miss ni
wakati wa kujisafisha...nimeona mmeanza na mistake kwa kumuweka kahaba
kama jaji kule arusha sasa mnatarajia nini si atachagua kahaba mwenzake
nahisi ama naa mini

MISSS TANZANIA BILA UKAHABA ..AMA BILA KUTOA UCHI KWA WAKINA PREDESHEE WOTE NA MARAFIKI WA HASHIMU LUNDENGA INAWEZEKANA KABISA;;;;;NATUMAINI REGENCY AITAKUWA TENA KIGANGO CHA KUUZIA MAPREDESHE MA MISS WALIOINGIA KWENYE MISS TANZANIA
 
Uliandika haya!

mpwa usiogope hapa

we dare to talk openly kama anahisi kwa nini akae na donge moyoni ana
haki....hakuna jf laws iliobaki zote mpaka sasa zishavunjwa tena na
JF premium..so tuwe na amani mwenye hamu atoe hamu
 
aahaaaa

yaaani tusimpe shetan nafasi mpwa nimekuacha eeeh

ila ungesikia ile sauti yaa sshhhhhhhh aaaaaaaaaahhhhh ungeelewa
am kid
 


mpwa nimependa avator yako kama wote tungekuwa tukikojoa barabarani akuna majani
wala miti ambayo ingekufa ila huu mpira wa nyuma kidoogo umeniacha !!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom