Miss Tanzania achukua Jeep lake

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
[h=3]Miss Tanzania achukua Jeep lake[/h]

Picha+Kubwa.JPG

Meneja Udhamini na Matukio wa Vodacom, Rukia Mtingwa (wa pili kulia) akimkabidhi Miss Tanzania 2011, Salha Israel (wa pili kushoto) funguo za gari lake la zawadi aina ya Jeep, lililotolewa na kampuni hiyo Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkurugenzi wa Miss Tanzania Hashim Lundenga na Meneja Mauzo wa DT Dobie, Alfred Minja.
 
I wish her a merry X-Mas.....................................and a fabulous new year.........................she deserve it, or doesn't she?
 
haaaaaya sasa vijana wa mujini mnaopenda vya bure mtto keshachukua ndinga kilichobaki ni kuroll tu
 
mpaka ameshatolewa miss world ndo anapewa.mimi naona angenyimwa tu maana ameshashindwa!!!!. ataishiwa kuwa kama wema na jokarte tu. Vijana wa mjini wakae mkao wa kula
 
unaonaaaa sasa RUKIA MTINGWA anafanya kazi yake baada ya kuporwa na MWAMVITA MAKAMBA kwa muda mrefu, dietlof keshasepa, RENNEE MEZZA karudisha weledi voda.
 
[h=3]Miss Tanzania achukua Jeep lake[/h]

Picha+Kubwa.JPG

Meneja Udhamini na Matukio wa Vodacom, Rukia Mtingwa (wa pili kulia) akimkabidhi Miss Tanzania 2011, Salha Israel (wa pili kushoto) funguo za gari lake la zawadi aina ya Jeep, lililotolewa na kampuni hiyo Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkurugenzi wa Miss Tanzania Hashim Lundenga na Meneja Mauzo wa DT Dobie, Alfred Minja.

sawa zawadi nzuri ila hawa jamaa huwa wanaangalia kwanza maisha halisi ya washiriki kwanza.
maaana utunzaji wa hili gari garama yake ni kubwa
 
Wadhamini wanampatia alloawance kila mwezi kwa mwaka mmoja.......baada hapo anaruhusiwa kuliuza akaendelea na maisha yake!hakuna shida hapo alitunze tu kwa mwaka huu baada hapo ataliuza!!kwanza nasikia vodacom wametema udhamini wa miss tz!kina Lundenga watafute wadhamini wengine sasa!labda Tigo au airtel sasa kazi kwao kupata deal hilo!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom