Miss Tanzania 2010

Mwaka huu kamati imechemsha,mtaalamu wetu wa picha naomba uweke picha ya kipenzi chetu Miriam hapo pembeni watu waone tofauti.Hata yule cheusidawa mwenye bluu ana nafuu.

tanzania1a.jpg
misstanzania_thumb.jpg
 
:confused2: Huyu ndio anafa???

Why we send these girls who obviously have no chance of winning Miss East Africa let alone Miss World is beyond me. If this Miriam girl and Miss TZ 2010 are the best we can do we might as well just stay home.
 
Niliiangali hii via Star TV kwa kweli quality ya picture hovyoooooo,picture mixing hopeless mpaka wanachukuana picha wenyewe kwa wenyewe.
Alafu sikuona kilichofanyika kuwapata 5 bora out of ten.
Pole kwa mrembo aliyejikwaaaaaa.
Kama matokeo yalikuwa hayajapangwa SIJUI manake bongo kila kitu ni mwendo wa kuchakachua ila uku naambiwa ni BARTER TRADE
 
Hawa watoto bwana walishindwa kujibu maswali ndo maana kwenye Miss word huwa tunashindwa :confused2::confused2:
 
Kikwete hata huku? Ndiyo lazima mheshimiwa amtafute ampe kacheo akipata tena urais
dahhhh kikwete kapigiwa d ebe live na mrembo baadaya kuulizwa atamchagua mtu wa aina gani, akataja hizo sifa kisha akasema jk anazo kwani anaongoza kwa ari nguvu na kasi zaidi
 
Niliiangali hii via Star TV kwa kweli quality ya picture hovyoooooo,picture mixing hopeless mpaka wanachukuana picha wenyewe kwa wenyewe.
Alafu sikuona kilichofanyika kuwapata 5 bora out of ten.
Pole kwa mrembo aliyejikwaaaaaa.
Kama matokeo yalikuwa hayajapangwa SIJUI manake bongo kila kitu ni mwendo wa kuchakachua ila uku naambiwa ni BARTER TRADE
Sio kuwa matokeao yalipangwa .Ni dhahiri kuwa mchakato wa kuangalia nani anafaa ulianza siku walipoingia kambini.Na vigezo vya miss TZ hawaangalii uzuri tu,hata uelewa na akili.Sio rahisi sio ile moja ya fainali wakajua nani ana uelewa mkubwa na anastahili.Ndio maana inaitwa fainali,which means walikuwa na majina yao tayari ya 10 na tano bora.
 
mamiss wa wakati huu hapana bwana, mamiss walikuwa kipindi kile cha kina Nargis,Mercy,Happiness etc, hawa wa cku hizi khaa.
 
Kwa wale ambao hamkuona live pateni video hizo tatu, moja ya interview kule hotel Girrafe na nyingine ya mshindi wetu miss TZ 2010 Genevive Emmanuel Mpangala na nyingine warembo wakicheza volleyball beach...

Last edited by a moderator:
mamiss wa wakati huu hapana bwana, mamiss walikuwa kipindi kile cha kina Nargis,Mercy,Happiness etc, hawa wa cku hizi khaa.

Ni mamiss kulingana wakati tulionao,mambo yenda yakibadilika,ndo maana R9 pamoja na umahiri wote wa kutupia nyavuni tulisema bado hamfikii Pele(sory,off topic!!!)
 
jamani niwieni radhi lakini miss huyu is more in the ugly side than beautiful!

manake hiyo siku ya kuveshwa taji..............sijui wigi limekaa upande, and that red lipstic on her is a fashion faux pas!
 
nimecheka sana....yaani kulikuwa hakuna miss kati ya wote....
 
Naskia Lundenga 'sana tu' kwa hao mamis eti hata mkewe wa sasa alishawahi kushiriki umiss na ndipo alipompatia huko
 
Er...hivi inaitwa miss what?? It should be Miss Lungenga beauty contest.....
 
miss wa mwaka huu ni mbaya sana

tena sana kulikwa na bunduki moja kali lakini haikutinga hata kumi bora
 
Back
Top Bottom