mkuu siunajua tena viingilio vyao, kwahiyo walio weza kuingia humo ni watu ambao si wakwenda kwenye maonyesho ya muzikiMi naona mashindano haya yamepoa. AY anajaribu kuchangamsha lakini wabongo wanamtazama tu.

Hivi mbona wa Zanzibar hawashiriki?
Nakumbuka kuna mwaka nilimwona mshiriki wa Zanzibar siku hizi kulikoni?
Maadili ya Zenj..hijab na umiss wapi na wapi bana ..wao wanapenda kuangalia tu ila kushiriki hawataki eti ni uhuni na ukosefu wa maadili..kwani umeshasikia kuna miss Saudi Arabia? au kutoka UAE?Hivi mbona wa Zanzibar hawashiriki?
Nakumbuka kuna mwaka nilimwona mshiriki wa Zanzibar siku hizi kulikoni?
Miss TZ ni No. 5
hahaaa bara baraaaa kabisaaa!!Mlinzi wa Rais au?
Mi naona mashindano haya yamepoa. AY anajaribu kuchangamsha lakini wabongo wanamtazama tu.
Nilisema miye.
na ameambulia nafasi ya tatuDemu wa Invisible, Consolata ametangazwa Miss Reds ambassador
.
Mashindano yashaisha mkuu unalalamika bure tu.