Miss Tanzania 2010

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,648
Wadau wa spots na burudani hakuna mwenye interest na Shindano hili atujuze kinachojiri?
Kwani inafanyika muda huu pale mlimani city.

=================

CONTESTANTS:

Vodacom-Miss-Tanzania-2010.png
 
muda huu THT wapo jukwaani wanatoa burudani mwansiti anaimba, wamejitahidi jukwaa limependeza
 
Naona burudani zinachukua muda mwingi kuliko shoo yenyewe.
 
sasa ni mchujo wa kumi bora.
Ni kweli wa mwaka huu wamejazia jazia.
 
Jamani huyu Patel boss wa mashindano haya ana board guard kama raisi!
 
Kila anapotangazwa mshiriki anayeitwa CONSOLATA ukumbi unalipuka kwa mayowe.
Bila shaka huenda akaibuka mshindi.
 
dahhhh kikwete kapigiwa d ebe live na mrembo baadaya kuulizwa atamchagua mtu wa aina gani, akataja hizo sifa kisha akasema jk anazo kwani anaongoza kwa ari nguvu na kasi zaidi
 
Back
Top Bottom