*Miss Tanzania 2008*

Mashindano Ya Kukaa Uchi...eti Ndio Usasa?...kumbe Ubwege...!!! Na Kaburini Muwapeleke Hivohivo!!! Watu Wasiojua Historia Yao....tabia Ya Kuiga Ni Tabia Ya Nyani....

Hawa Ni Kama Wanyama Au Zaid Ya Wanyama....tofauti Ya Mnyama Na Mwanadamu Ni Akili....then Nini? Mtaandaa Sex Video Muuze...eti Biashara?.au Upungufu Wa Akili...yule Aliewaita Macd Hakukosea...
 
Matokeo ya awali pale Globalpublisherstz.com ni kama ifuatavyo hapa chini. Nadhani kuwa Nelly anapata kura nyingi sana kuliko wenzake kwa vile waliotengeneza voting system ile wameikosea kwa kumfanya yeye kuwa default choice. Walitakiwa waongeze mshindani mmoja dummy awe kama default choice. Kwa sasa hivi mtu ukibonyeza "vote" bila kufanya chaguo lolote unakuwa umepigia kura Nelly.

untitled.jpg
 
...'nahisi' kwa namna moja au nyingine kuna kampeni maalumu kwenye media kumpigia debe Nelly Kamwelu.

Amekuwa 'front news' karibia kwa kila kitu...
 
Washindani wetu wa Miss-Tanzania ni hawa; picha nimezitoa kwenye tovuti ya udaku ya Shigongo pale http://www.globalpublisherstz.com. Ingawa najua kuwa kuna vigezo vingi vitumikavyo kumtafuta mshindi, hata hivyo nina imani kuwa haiba huchangia sana kwenye ushindi. Je, ni nani kati yao ana haiba ya mvuto kwako, na kwa nini? GlobalPublishers wameahidi kutoa zawadi kwa msichana atakayekuwa na mvuto kwa watu wengi. Unaweza kwenda kwenye webite yao hapo juu kuonyesha chagua lako. Labda nitahadhalishe tena kuwa picha zote hizi ni mali ya Global Publishers, nimeziweka hapa kwa ajili ya kupanua mjadala wa mvuto wa haiba.

1217170410_resize_of_fay_antony.jpg

Fay Antony

1217168115_resize_of_rona.jpg

Rona Swai



fahari ya macho haifilisi duka;.

..kwa hisani tena ya Globalpublishers na picha zao,...

Very cute, mashaallah!
.

View attachment 1909
 
...'nahisi' kwa namna moja au nyingine kuna kampeni maalumu kwenye media kumpigia debe Nelly Kamwelu.

Amekuwa 'front news' karibia kwa kila kitu...

Niliwaambia kuhusu nelly kupangwa kwenye post yangu (no.2) na kuna tetesi alionekana ofisi ya shivacom mwanzoni mwa july hata kabla ya mambo kupamba moto na unless aboronge kwenye maswali atatangazwa mshindi
 
Jamani hatuoni kinachoendelea live... kuna usalama waheshimiwa... wenye watu walioko Leaders Club... watupatie habari.
 
Kwa sasa hivi Anko Lundenga yuko vyumbani anakagua kagua mshindi......kwa vipimo vyake
 
NILISIKIA doris alipata kibuzi cha voda kikampeleka kugombea kanda ya ziwa!
labda ndiye mshindi wetu..!
DORY alikuwa mwanafunzi wa chuo fulanikurasini...!
mashindano ambayo ukitoa ngono unapata ushindi halafu wazazi na marafgiki wanafurahi wakati mhusika anaenda kulipia ushindio wake kwa ku.......( AMRI YA SITA)
 
kaaz kweli kweli
naamini mke wangu ndiye miss tanzania namba moja wangu. hao wengine mnaowatafutia gari ni kuendekeza mambo ya kizungu eti miss world wakati hao wazungu hawautambui mwenge wetu wa uhuru. nadhani watakaoleta picha za live za miss tz watuletee kulee mambo ya kikubwa as siyo intateinment tena.... wow
 
mashindano yanaendelea vipi haya wandugu?!



:(

...naona safari hii 'LIVE' tutaipata kule kwenye website ya globalpublisherstz.com, wale 'wahisani wa mwaka jana wamenyuti'
 
Back
Top Bottom