Miss Morogoro,mbona wafupi?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
PICHA+YA+PAMOJA-2.JPG
 
Unaweza ukachumbia ukadhani katoto eti katarefuka, wapi kumbe ni ka dwarf!! utaona kanazidi kukomaa tu uso miaka nenda rudi....
 
Waungwana kuthibitisha mtu mrefu au mfupi kwenye picha ni kitu kigume sana. The photo angle can manipulate a lot of things. Don't judge heightwhen looking at a photo. Period
 
Waungwana kuthibitisha mtu mrefu au mfupi kwenye picha ni kitu kigume sana. The photo angle can manipulate a lot of things. Don't judge heightwhen looking at a photo. Period

MKuu hapo haihitaji scale kujua kama hao watu wafupi, they are too short bana.., khaa...!!
 
Waungwana kuthibitisha mtu mrefu au mfupi kwenye picha ni kitu kigume sana. The photo angle can manipulate a lot of things. Don't judge heightwhen looking at a photo. Period
hao wote ni 140----175,naona wametumia kigezo cha wembamba, hata vvu si mwembamba banaaa
 
Ki ukweli wala si utani, watu wa Moro ni wafupi sana kwa asili, waluguru na wapogoro, warefu ni wachache sana
 
Karibia wote hawana sifa.Ningekuwa jaji labda huyo wa kwanza kutoka kulia na wa sita kidoogo ningewa consider!
 
Back
Top Bottom