Miss malawi akimsukuma miss new zealand

On time wakati jina la nchi yake linaitwa...unakataa kuwa waBongo si waoga-oga? Au ndio ukweli unauma?!

Kwa hiyo kama Ms.New Zealand reaction yake imechelewa kwa sekunde kadhaa ndio useme dharau?

Hakuna zaidi ya ukosefu wa kujiamini tu.

Angesubiri akaondoka ingekuwa na athari gani kwake?

Hii imekuwa na athari hasi kwake,hana heshima wala taadhima
 
Back
Top Bottom