"Miss jf 2012" Kura yako ni muhimu sana.

Hivi Miss FJ maana yake nini?
mi nadhani ni mwanamke ambae ana uwezo wa kutuwakilisha sote kam JF members
Kwa vile JF hua hatutumii picha wala jina, the only thing wanawakilisha ni ideas zetu
na katika ideas ilionekana kua wanawake wawili hawa wana weza kutuwakilisha sote
sasa hayo ya kuweka picha si bora tukagombee miss U-Turn au blogs zingine za kijinga?
basi wadada wote wa JF kama vipi
 
Hayo uyasemayo nayachukulia ktk pande mbili.
Lakini bado sijaridhika thus why wanawake JF wako wengi sana,labda ungejaribu kusema hao waliopendekezwa wawe Mamiss hukuhuku ChitChat hapo nadhani ndo ntakuelewa kiupana na kiundani zaidi.

NA KAMA SIJAELEWEKA ZAIDI,NIELEWESHE..!!!
 
Hakuna anayemfikia Amyner
Toto limetulia..kapotabo ka ukweli...tabasamu la hatari lol guu guu mwanangu
namba nane full

We c umekataa hujaonana nae fac 2fac asa sifa hzo umeziona wapi?
Au unamcfia mkeo kijanja?
 
Last edited by a moderator:
Hayo uyasemayo nayachukulia ktk pande mbili.
Lakini bado sijaridhika thus why wanawake JF wako wengi sana,labda ungejaribu kusema hao waliopendekezwa wawe Mamiss hukuhuku ChitChat hapo nadhani ndo ntakuelewa kiupana na kiundani zaidi.

NA KAMA SIJAELEWEKA ZAIDI,NIELEWESHE..!!!
Ilikua ni kura ya JF nzima, AshaDii akawa JF Woman of the year
Na Lizzy akawa MMU woman of the year. kura tulipiga wote.
Sasa haya ya kushindana sura sijui yanatoka wapi tena.
 
Waweke Picha kwanza hao wanaojiona waremo aka ma miss then ndio tuchague nani mshindo maana avatar zisije zikatuingiza mjini.
 
We c umekataa hujaonana nae fac 2fac asa sifa hzo umeziona wapi?
Au unamcfia mkeo kijanja?
Hahahahaaaaa
Unadhani nisimjue wife then ntakuwaje?
Dah nilitaka yeye ndo aanze kunitaja....
Ila ukweli uko pale pale....Mi ndio nimemuoa Miss JF daima wala haina mwaka ni Daimaa
 
Hapa nadhani mnatafuta mshindi ngazi ya kanda.
BEIBE NASTY ameshavuka level hii , namuandaa na National race level!
 
Wee labda awe wa kanda ya ziwa...ila Amyner ni wa Jumla...au hujawahi mwona JG?
 
Last edited by a moderator:
Ilikua ni kura ya JF nzima, AshaDii akawa JF Woman of the year
Na Lizzy akawa MMU woman of the year. kura tulipiga wote.
Sasa haya ya kushindana sura sijui yanatoka wapi tena.

Hapo Mwali sasa nimekuelewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom