miss jamii forum lini?

Kama wanapima michango utashindwa.
Labda kama wanapima accessibility. lol
 
Kama wewe ni mzuri na unajiami basi hujazaliwa.

WAZURI HAWAJAZALIWA BADO.
 
Wazo lako zuri, weka avatar walau tuweze kuhusianisha na muonekano wako! Kura utapata mrembo!
 
Wadada wa humu washaolewa wote sijui kama wanafaa kugombea umiss
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom